St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
Kazi gani maproso
kazi gani hyo unataka umpige twin wangu!!??
Si ndio na mimi nimebaki nashangaa hapa........
Kazi gani maproso
kazi gani hyo unataka umpige twin wangu!!??
kazi gani hyo unataka umpige twin wangu!!??
teh!!!!!! haya mwache abaki alipo!! twin Eversmilin Gal umemuona St. Paka Mweusi !!??Aaaaaaaaaaaaaaa,shem unaanza kuhalibu sasa unamwita tena..?? Mwache apotelee hukohuko akirudi anakuta tumeshamaliza ....
Si ndio na mimi nimebaki nashangaa hapa........
tena bora kakimbia!!!Afadhali umenisaidia twin
teh!!!!!! haya mwache abaki alipo!! twin Eversmilin Gal umemuona St. Paka Mweusi !!??
teh!!!!!! haya mwache abaki alipo!! twin Eversmilin Gal umemuona St. Paka Mweusi !!??
tena bora kakimbia!!!
Ameona jinsi ninavyomshangaa akajiuliza akakosa jibu.......hahahaha....... akaamua kutimua mbio.....
hahahaha!! mshangao tu kakimbia je angekunjiwa ngumi!!Ameona jinsi ninavyomshangaa akajiuliza akakosa jibu.......hahahaha....... akaamua kutimua mbio.....
hahahaha!! mshangao tu kakimbia je angekunjiwa ngumi!!
teh teh teh!! ingekula kwake!!Ngumi hastahili ningemtega tu kama hivi
kula tano umeshakula au umefunga
Afadhali umenisaidia twin
tena bora kakimbia!!!
mkuu mbona mimi nlitangaza nia kwako lakini hujanipa majibu ya nia yangu kukubaliwa au not. refer post yangu ya juu. nakupenda sana. Mia
Endelea kusomesha who knows inaweza kuwa bahati yako