Natangaza nia ya kugombea ubunge Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natangaza nia ya kugombea ubunge Igunga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PhD, Jul 13, 2011.

 1. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  kufuatia bwana rostam kujiuzulu ubunge, natangaza kugombea ubunge jimbo la igunga, naondoka houston next week kurejea tanzania
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,487
  Likes Received: 81,782
  Trophy Points: 280
  Unagombea kupitia chama gani Mkuu?
   
 3. N

  Nyampedawa Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Bubu Ataka Kusema; Unagombea kupitia chama gani Mkuu?[/QUOTE]

  Swali zuri sana mkuu.
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Haiumizi kichwa, bila shaka ni Chama Cha Magamba au TLP!
   
 5. Eng. SALUFU CA

  Eng. SALUFU CA Senior Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Karibu sana Tanzania mzee, ila ni zaidi uijuavyo.
   
 6. k

  kiloni JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Endelea na Heineken baridi. Huwezi kuja kutoka huko kuja kubeba tu ubunge. Hatutaki wakimbizi.
   
 7. K

  Kenge (Eng) JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Dec 7, 2006
  Messages: 502
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Huyu ni wale wale. Magamba matupu.
   
 8. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  gagurito acha hizo ndugu yangu nitagombea kama mgombea binafsi najua sheria ipo mbioni kubadlishwa naogopa vyama vya siasa vya tanzania vingi havina demokrasia ya ukweli, hivyo ili kutoa uwakilishi wa kweli bila kufungwa nitakuwa mgombea binafsi kwa watu masikini wa igunga ambao wameongozwa na tajiri rostam toka mwaka 1994 lakini wao wakiwa masikini zaidi
   
 9. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  ulisubiri ajiuzulu ili ugombee,mbona hukuja kushindana nae kura za maoni,ccm mnamuogopa huyu jamaa kinoma.
   
 10. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Yani unaishi texas, alafu unatangaza nia ya Igunga. Du hivi kweli unajua hali halisi ya maisha ya wana-Igunga??. We kavu, huna lolote na hatukupi kura. Tutawapa WAHAPAHAPA.
   
 11. The Inquisitive

  The Inquisitive Senior Member

  #11
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Jumping onto the gravy train...
   
 12. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kwli marikani kunakumaliza, hivi Tanzania hii hii tunayoijua sisi eti unategemea ugombea binafsi???? nani kakuambia kesi itashinda hivi karibuni kabla ya uchaguzi mdogo huko Igunga?? Ukitaka ngoja 2014 kama katiba itapitisha mgombea binafsi. Kwa sasa No no Hatukutakiiiiiiiiiiiiii.
   
 13. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  mwe makini usije kosea kugombea kwa kupitia cdm, huku igunga haina ofisi, aidha upitia ccm ama cuf
   
 14. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,060
  Likes Received: 6,508
  Trophy Points: 280
  Wewe bana kama uko huko majuu mambo ya huku wayajua wapi dugu, ukija upitie kwanza kwa dada nani pale tbr upate kikombe ndo tuone uhalisia wako kwanza.
   
 15. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Itakuwa ni vyema kama utaanika na umri wako hapa jamvini- Age matters maana vijana wamechachamaa. PhD yako ya USA utaisahau, na kama unabisha nenda kaulize Tanga, kuna mgombea mmoja alikuwa na PhD kama ya kwako lakini aliishia mlangoni hakuingia mjengoni. Badala yake alishinda mganga wa kienyeji mwenye elimu ya darasa la saba.
   
 16. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  naifahamu igunga vizuri sana nimekuwapo wilaya ya jirani, nzega mwaka juzi ( 2009) nikishughulikia tafiti kwenye maeneo ya poverty reduction at semi arid communities naelewa wananchi wa igunga na nzega wanavyopata shida hasa chakula wakati wa ukame , huduma bora za afya na maji salama, nimeamua kugombea igunga uwezo ninao wa kusogeza maendeleo pale nina uwezo wa kutayarisha vipaumbele vya jamii ya pale zaidi ya rostam na hii ndio sababu sijataja chama ila personal attributes na commitment
   
 17. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  sio lugha njema kwa mtu mwenye nidhamu unajidhalilisha kwa kutokuwa muungwana , toa hoja ndugu.
   
 18. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Vita ndio inaanza kati ya CDM na magambaz ktk jimbo la Igunga.

  Ombi langu kwa wanachadema na wapenzi wake tuweke nguvu pamoja kuhakikisha tunaichukua jimbo hilo. Tumeshuhudia CCM na utawala wake wanavyotutesa. CCM wameshindwa kuondoa ya fuatayo :-Tatizo la umeme, mfumuko wa bei, upendeleo bungeni, lugha ya matusi dhidi ya wapinzan, uungaji wa hoja 100% na ufisadi wa aina zote. Hizo ndizo sababu kubwa ya kukomboa jimbo la igunga.

  Vijana kwa wazee nguvu pamoja tuweke. CDM taifa wekeni mikakati mapema.
   
 19. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kwani yule gabachori ameachia ubunge?
   
 20. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Karibu sana Igunga ila utakapokuja Bongo njoo na suluhisho la mvua kama ulivyoainisha vipaumbele vyako. Kuna Waziri Mkuu hapa Bongo alitangaza kwenda nchi fulani kununua mvua sijui mpango huo ulishia wapi.
   
Loading...