Natangaza nia, Kasie in 2015

Natangaza nia, Kasie in 2015

Niko na ZARI pembezoni mwa Kampala huku mutuwache tulale sasa. Blue G nikirudi bongo tuonane. ShemD Khantwe sisemi neno.. Many thanks. Shem wa Ukweli everlenk mamaa asante kwa faraja yako, Honey Faith please keep in touch, Kasinde I am wishing you anly the Best with my bro @ushyboy... si unajua kwetu tulivyo na ukarimu? Kitu kizuri unakula na ndugu yako; Kibaya unampa Shy land na Bush land.

It was nice company Kasinde, I enjoyed. I wish it was real. Inhhiinhiinhiiiiii
:A S wink::A S wink:

😕😕😕
 
Last edited by a moderator:
Available Tized 24/7 lakini mbona uliondoka tu Bongo hata kuambizana hamna jamani?
Niko na ZARI pembezoni mwa Kampala huku mutuwache tulale sasa. Blue G nikirudi bongo tuonane. ShemD Khantwe sisemi neno.. Many thanks. Shem wa Ukweli everlenk mamaa asante kwa faraja yako, Honey Faith please keep in touch, Kasinde I am wishing you anly the Best with my bro @ushyboy... si unajua kwetu tulivyo na ukarimu? Kitu kizuri unakula na ndugu yako; Kibaya unampa Shy land na Bush land.

It was nice company Kasinde, I enjoyed. I wish it was real. Inhhiinhiinhiiiiii
:A S wink::A S wink:
 
Last edited by a moderator:
Njoo mwaya kama Timbwili la Zari unaliweza lkn. Hahahahahaaaaaa...

Zari haoni ndani kwa Kasie, ingekuwa Hale(sijui jina lake linaandikwje) Belle wa bongo ningeogopa, nikija huponi Doctor oohooo
 
Mie nimejitoa

Khaaa!!! yaani wewe una roho nzuri, yaani unamuachia mwenzio utamu afaidi peke yake, halafu ujue unakuwa unajidhulumu kwa kujitoa maana ukianza consultation huachi, hapana chezea Doctor. Ukiwa na Malaria unapatiwa kwinini, dozi kutwa mara tatu ukitoka hapo wepesiiiii hadi raha ...................
 
Niko na ZARI pembezoni mwa Kampala huku mutuwache tulale sasa. Blue G nikirudi bongo tuonane. ShemD Khantwe sisemi neno.. Many thanks. Shem wa Ukweli everlenk mamaa asante kwa faraja yako, Honey Faith please keep in touch, Kasinde I am wishing you anly the Best with my bro @ushyboy... si unajua kwetu tulivyo na ukarimu? Kitu kizuri unakula na ndugu yako; Kibaya unampa Shy land na Bush land.

It was nice company Kasinde, I enjoyed. I wish it was real. Inhhiinhiinhiiiiii
:A S wink::A S wink:

kibaya kipi mkuu unachomanisha cc Tized
 
Last edited by a moderator:
Khaaa!!! yaani wewe una roho nzuri, yaani unamuachia mwenzio utamu afaidi peke yake, halafu ujue unakuwa unajidhulumu kwa kujitoa maana ukianza consultation huachi, hapana chezea Doctor. Ukiwa na Malaria unapatiwa kwinini, dozi kutwa mara tatu ukitoka hapo wepesiiiii hadi raha ...................

Si unajua nimefunzwa kizuri nile na mwenzangu ndio maana.Ila unavyosema hivyo unanifanya nianze kuumwa malaria ili nipate hiyo dozi ya mara tatu kwa siku maana navyopenda kufatilia dozi ni balaaaa🙂
 
usiogope my dear Honey Faith ........ Khantwe ni shemeji yangu wa maana sana, sema tu mara moja moja huwa uzalendo unatushinda tu hamna kingine.

Mapendo daima!!!!!! everlenk nakusihi usione hapa.

Naelewa ila kama ndio hivyo basi na mie shemeji zangu niwe nakula nao endapo uvumilivu ukinishinda😀
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom