Kila la kher wapendwa
Ndugu yangu acha tu. Ngoja nitafute nzee mwenzangu.
"God is love" asante kwa kunishtua.
Shemd wangu usijali mwaya utampata tu mwingine
wewe mwanamke una ma-shemd wangapi?
Mko wawili tu baaas.....
Haya........
Mke.... una mgomo na mimi?
Babu Kwema? Sijakuona useri Xmas ndugu! Happy new year
Lakini wasiwasi wangu, nikukosa michepuko huku pm
mmmmh unanipa hangaiko la moyo
Take care mkuu ukishindwa mnawekeana mikataba ksma ni ya miezi au mwaka
Aah mbona kwako mi nmekubali kupangwa