Natangaza nia, Kasie in 2015

Natangaza nia, Kasie in 2015

Niko na ZARI pembezoni mwa Kampala huku mutuwache tulale sasa. Blue G nikirudi bongo tuonane. ShemD Khantwe sisemi neno.. Many thanks. Shem wa Ukweli everlenk mamaa asante kwa faraja yako, Honey Faith please keep in touch, Kasinde I am wishing you anly the Best with my bro @ushyboy... si unajua kwetu tulivyo na ukarimu? Kitu kizuri unakula na ndugu yako; Kibaya unampa Shy land na Bush land.

It was nice company Kasinde, I enjoyed. I wish it was real. Inhhiinhiinhiiiiii
:A S wink::A S wink:
 
Last edited by a moderator:

Tized ntakufata huko uliko, ndo nini sasa uchokozi huooo. Wajua jinsi Kasie alivo hasa ukimchokoza
 
Last edited by a moderator:
Oooh thank u....ni wachache wanapata bahati hii ya kuelezwa haya kutoka kwa wale waliotangulia...

Be my guest, sina sababu ya kumnyima mwenzangu utamu, kama Tized asemavo kizuri kula a nduguyo, enjoy while it last mwaego. Jiandae kulishwa zabibu na strawberrie on bed, Doctor anapenda sana huo mchezo..........
vingine utavigundua mwenyewe nisikumalizieutamu wote hapa upenuni
 
Last edited by a moderator:
Wapo sema wameona wakuachie tu maana timbwili lake ni shida

Kheeee!!!!! usiniambie....!!!!:A S-eek::A S-eek::A S-eek:

kuna nini kwani sina habari mwezio, ning'ate sikio pls, timbwili hilo ni lipi?
 
Kwani hujagundua @ushi boy anajibu kwa mawenge hahaa anaogopa mtiti

Kama anaogopa shauru yake mie ndo nshajitokeza hadharani ivo, na kwa amani nimewaambia wajitambulishe nao tujuane tunamleaje huyu bwana ushiboy, kama wanaona aibu kujitangaza hapa kuwa wao ni wapenzi wa ushiboy watakuwa hawampendi kikweli.

Mtiti watakuwa wanamsumbua kwenye wasapt tuu au watakuwa washakwea pipa kuelekea UAE kufanya mtiti? ila mie niko ki peace zaidi so mititi waweke pembeni tupendane tuu na kupeana maraha
 
Last edited by a moderator:
Tized ntakufata huko uliko, ndo nini sasa uchokozi huooo. Wajua jinsi Kasie alivo hasa ukimchokoza

Niko na ZARI pembezoni mwa Kampala huku mutuwache tulale sasa. Blue G nikirudi bongo tuonane. ShemD Khantwe sisemi neno.. Many thanks. Shem wa Ukweli everlenk mamaa asante kwa faraja yako, Honey Faith please keep in touch, Kasinde I am wishing you anly the Best with my bro @ushyboy... si unajua kwetu tulivyo na ukarimu? Kitu kizuri unakula na ndugu yako; Kibaya unampa Shy land na Bush land.

It was nice company Kasinde, I enjoyed. I wish it was real. Inhhiinhiinhiiiiii
:A S wink::A S wink:

Hahahahahah!!! Umeturushaje roho shem langu la ukweeee!!!! Kasinde wewe baki huko huko kwa ushiboy wako.....wifi nimecharuka hahahah!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kama anaogopa shauru yake mie ndo nshajitokeza hadharani ivo, na kwa amani nimewaambia wajitambulishe nao tujuane tunamleaje huyu bwana ushiboy, kama wanaona aibu kujitangaza hapa kuwa wao ni wapenzi wa ushiboy watakuwa hawampendi kikweli.

Mtiti watakuwa wanamsumbua kwenye wasapt tuu au watakuwa washakwea pipa kuelekea UAE kufanya mtiti? ila mie niko ki peace zaidi so mititi waweke pembeni tupendane tuu na kupeana maraha

Aiseeee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom