Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Mtoto kapenda mwanya na smile hiyo...
Teh teh
Lakini nikusihi tukitofautiana usije nianika hapa jamvini kama alivyo anikwa legendary mwenye ID yenye herufi 9, mwanzo M.... ...a
Basi mie ngoja niangalie nifanyeje ili nimuhifadhi Tized😎
Tized Zali lingine hilo linakufuata........ Honey Faith asante bana kwa kutuhifadhia ndugu yetu ngoja tuangalie wanaukoo tukupe zawadi gani.....Ndugu yangu acha tu. Ngoja nitafute nzee mwenzangu.
"God is love" asante kwa kunishtua.
Hahahahahaaaaa wee dada mchokozii, unajua Doctor huwa unamuhitaji na kumuona pale maumivu yanapozidi? Tized anajua siri ya mtungi bakulutu ina raha yake
Kweli mkuu, maadam mwaka nimeuanza vizuri ngoja nitulieeee nijilie utam