Natangaza kumchumbia Mary Hunbag.....

Natangaza kumchumbia Mary Hunbag.....

nitakutoa kwenye ushenga endelea tuu

stevoh mimi niko kwenye kamati ya kwenda kumchukua bi harusi na kumpeleka C-H-I-C-K-E-N P-A-R-T-Y then namleta. NOTE kamati yangu niko mwenyewe na sitaki mtu mwingine.
 
Last edited by a moderator:
We unajua kulea wewe?nimemlea Marry Hunbig na kumsomesha ,na wewe pia nakusomesha,mahali kitu gani,
tumepanga mahali iwe millioni 3,ng'ombe 2,nguruwe 1,mbuzi 1,kuku 6,mashuka pea 2,blanketi la shangazi Madame B ,na barua ya posa iambatane na laki tatu cash.pia wakipita mlangoni kwangu iwe getini ama kuingia sitting rum ni sh 50000 kwa kila mtu.

mjombaaa, mjomba huyo x2
 
Last edited by a moderator:
mimi ndo nilikuwa nawakomalia wale wahuni wote kule mtaani... Mi ndo nilikuwa na mtetea akinywaga bia za watu ... Ila thawa bana.. Nipe hiyo hela nikalete hizo malta thatha... Uone Kama sijawaletea vijoti :A S-cry:

anakunywa bia za watu???
 
kwani maisha ni nini?
Kuzaliwa,
ujamwona tunayemu wish hap basidei??
kuishi,
huoni watu wanakuja na kuondoka?
Kula,
kwenye sherehe mnaenda kufanyeje?
kuzaliana,
hujasikia waliojifungua?
kufa
hujapata matangazo ya tanzia? :coffee:
 
stevoh mimi niko kwenye kamati ya kwenda kumchukua bi harusi na kumpeleka C-H-I-C-K-E-N P-A-R-T-Y then namleta. NOTE kamati yangu niko mwenyewe na sitaki mtu mwingine.

mwenyekitii huyu kiumbe naomba umwangalie. Mr. Rocky niitie mwenyekiti
 
Last edited by a moderator:
sikuangalii tenaa.

Aaah... Thatha... Si alikunywa bia alafu jamaa wa meza ya pili akalipia bila yeye kujua.... Wakati anataka kulipa anaambi Already paid Jamaa akang'ang'ana waondoke wote.... Hapo ndipo jamaa alipo chezea kisago mpaka hamia wakimbiziforums.com ---- haya niangalie thatha bwa shem 🙂)
 
akija atajibu yote hayo ngoja aje.
 
Back
Top Bottom