Natangaza kumchumbia Mary Hunbag.....

Natangaza kumchumbia Mary Hunbag.....

We mtukutu sana wewe,wiki iliyopita nilikutuma mjini na haukurudisha chenchi,tumia ile chenchi,nimemaliza,nashangaa sana kijana nnayetaka kumrithisha utajiri anakuwa hivi,,,kweli?

uo utajiri unatokea wapi :coffee:
 
We mtukutu sana wewe,wiki iliyopita nilikutuma mjini na haukurudisha chenchi,tumia ile chenchi,nimemaliza,nashangaa sana kijana nnayetaka kumrithisha utajiri anakuwa hivi,,,kweli?

basi mjomba nimekumbuka kuwa wewe ni tajiri.... Basi naomba upunguze mahari unayotaka kumtoza stevoh
 
Last edited by a moderator:
Sitaki mbabaishaji mimi,alete hiyo mahari asaidiane na washenga wake, huyu binti nimemsomesha international school of moshi,briban ya arusha,havard university nikamuhamishia cambridge 3rd year maana alikuwa amechoka mazingira,,sasa binti wetu huyu tumtoe hvhv?

Yule jirani yetu aliye kuunganishia undugu yupo wapi?
 
Back
Top Bottom