JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
duuh ni mjomba kweli au kimbele mbele?
mimi ndo nilikuwa nawakomalia wale wahuni wote kule mtaani... Mi ndo nilikuwa na mtetea akinywaga bia za watu ... Ila thawa bana.. Nipe hiyo hela nikalete hizo malta thatha... Uone Kama sijawaletea vijoti :A S-cry:
We mdogo wangu Donn,mie situmii hizo bia kwani ni chukizo kwa Mungu wangu.
Aaah... Thatha... Si alikunywa bia alafu jamaa wa meza ya pili akalipia bila yeye kujua.... Wakati anataka kulipa anaambi Already paid Jamaa akang'ang'ana waondoke wote.... Hapo ndipo jamaa alipo chezea kisago mpaka hamia wakimbiziforums.com ---- haya niangalie thatha bwa shem 🙂)
We Donn wewe!!
Ni mimi huyu huyu au Marry Hunbig wa kuchonga?
Nimeokoka mie,sifanyi mambo ya jinsi hiyo!
uniambie ukweli tuuuu tutaelewana bhaaasi
We Donn wewe!!
Ni mimi huyu huyu au Marry Hunbig wa kuchonga?
Nimeokoka mie,sifanyi mambo ya jinsi hiyo!