Natangaza kumchumbia Mary Hunbag.....

Natangaza kumchumbia Mary Hunbag.....

We unajua kulea wewe?nimemlea Marry Hunbig na kumsomesha ,na wewe pia nakusomesha,mahali kitu gani,
tumepanga mahali iwe millioni 3,ng'ombe 2,nguruwe 1,mbuzi 1,kuku 6,mashuka pea 2,blanketi la shangazi Madame B ,na barua ya posa iambatane na laki tatu cash.pia wakipita mlangoni kwangu iwe getini ama kuingia sitting rum ni sh 50000 kwa kila mtu.


mjomba Chimbuvu naona katika suala la mahari katutia kapuni kabisaaa :A S-cry:
 
Last edited by a moderator:
Nyie nendeni sokoni na dada zako mkanunue vitu kuwaandalia wageni,mchukue na kreti la soda na malta.

mimi ndo nilikuwa nawakomalia wale wahuni wote kule mtaani... Mi ndo nilikuwa na mtetea akinywaga bia za watu ... Ila thawa bana.. Nipe hiyo hela nikalete hizo malta thatha... Uone Kama sijawaletea vijoti :A S-cry:
 
kwani maisha ni nini? Kuzaliwa, kuishi, Kula, kuzaliana, kufa :coffee:
mbona ndoa hujaitaja,mi nna wacwac na hiz ndoa badae 2takuja kuomba undugu au 2takuwa na wengi walioachika wazee waliangalie hili
 
Back
Top Bottom