nina wasiwasi kwakua mwanisema nyuma ya pazia kuna kitu mwajua hamtaki kuniambia subirini niende kwanza homu.
mwambie huyo naona hajui majembe yake. NITAFUTIE Liverpoolfc
mambo switii!?
thank yuuu utakuwepo kwenye kamati gani eti?
LiverpoolFC yupo anapiga ndofu hapa....
:coffee:
hahahaha unataka ufanye ujamaa? Mi nitakubinafsisha. Shit.
Hivi stevoh una nini nami? Nikimsemesha huyo binti why unakuwa msemaji wake? Unajua bachelor's party? Ndo nataka nimfanyie Marry Hunbig Hakuna la ziada mkuu
Nasimama nikiwa kama mjomba wa Marry Hunbig kufika ktk geti la nyumbani stevoh ni ng'ombe mmoja, kuniita sittn rum kuja kupokea posa ni ng'ombe mwingine mmoja.halafu naona mmekuja na mashati na makoti makubwa na washenga wako Arushaone Erickb52 , Chilli na manoah ,kwanza nyumbani kwangu huwa hatuvai makoti hayo,faini ni ng'ombe mmoja ama laki mbili ya papo kwa papo.toeni makoti yenu na viatu mvue hadi na soksi mvue,ndio nianze kuwasikiliza.mi narudi chumbani mpaka niwaone hao ng'ombe watatu ama wawili na laki mbili ndio ntawasikiliza
Punguza munkari jamaa.....mkeo nipo nae anakusalimia...
thank yuuu utakuwepo kwenye kamati gani eti?
Mhhh!!!!
mama wewe mjomba ndio yuko hivo?