Jamani sis Marry Hunbig tarehe haitangazwi tu...? Au shem wangu stevoh anajipanga bado?
Mtaoa hadi majini nyie tokeeni tu hovyohovyo
Oky nakuja ila sijui napitia mlango gani wa nyuma au wa mbele? sitopenda Mentor afahamu hili kwani nitamuuzi best wangu si unajua siye tulio katika ndoa bhana hatutaki kuharibu ndg@Vin Diesel pls niambie
jamani Vin Diesel una mambo wewe haya nakuja ila sigongi mlango nitaingia kwa dirisha je unapenda
Mtaoa hadi majini nyie tokeeni tu hovyohovyo
stevoh where were u? From January 2 August?Yaani we acha tu, yaliyomkuta Stevoh na Kipipi, unaanzaje kusimulia?