Natangaza kumchumbia Mary Hunbag.....

Natangaza kumchumbia Mary Hunbag.....

Yoyo nakamata microphone , yap si kama naimba bali naria, namrilia sister msichana mzuri alie potea (utamalizia mashahiri ya wimbo huu, jina. Sister sister - GK . mtoto mdogo
Wewe hakuna suala kama hilo!
Hadi unaona nimemkubali stevoh,jua nimempima na kumchekecha na amepimika!!!
He is my best husband to be!
 
Last edited by a moderator:
Nimechoka kufedheheshwa... Hata mie nina moyo wa nyama....

Tuliza moyo wako mke wangu! Wewe ni wangu wa moyoni. Wa kufa na kuzikana. Angalia usipelekwe na upepo na wapepo yake! Nakupenda wewe tu na hakuna zaidi yako. Hakika wewe ni mke who is God given to me! I love you sana!
 
Back
Top Bottom