Natangaza kumchumbia Mary Hunbag.....

Natangaza kumchumbia Mary Hunbag.....

Huyu mtoto angekua na nidhamu angeomba radhi kama mkosaji, mbona Zito alipokosea alituomba msamaha na tuka msamehe?
No Bishanga , no manoah , no Chimbuvu tuone mahari utaipeleka wapi?
Hv unajua ni kina nani walimlea huyu binti tokea wazazi wake walipopotea ktk mafuriko ya jangwani mwaka 90?
Unajua nani alimsomesha hadi cambridge?
U better make a reconciliation than to miss a lady.
 
Last edited by a moderator:
stevoh shika adabu yako sawa bwana mdogo? Utapelekwa mabwe pande ukiendelea na ujeuri wako, msaada ninao kupa omba msamaha! Swali simple kwako unapo kuwa na mke nyie mnakua mwili mmoja. Je? Haiwezekani kumsahau mkeo kumpatia huduma muhimu, kama leo tu umekosea hata jina lake.
unazunguka pori nyooka kwenye point.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom