Natangaza kumchumbia Mary Hunbag.....

Natangaza kumchumbia Mary Hunbag.....

stevoh hao washenga una waaminije.

Salamu wakuu,
heshima kwenu. Hili jambo ni la siku nyingi nimekua naliwaza ila leo inanibidi nitangaze kuwa nipo ninamchumbia Mtajwa hapo juu Mary Hanbig
Natangaza rasmi kuweka wazi kuwa nimekua nikimchumbia kigori huyu kwa muda sasa na nadhani baadhi ya member walishasikia harufu ya uhusiano wetu wa karibu.
Natangaza tena muda si mrefu tutatangaza ndoa. Na mwenye kipingamizi apeleke malalamiko yake kwenye kamati ya mahusiano na ndoa inayoongozwa na Baba V na wasaidizi wake.
Natoa nafasi kuwa naanza kupokea barua kwa wanaotaka kuwa washenga wangu.
Copy kwa wafwatao
chimbuvu, Erick52, mzizimkavu, watu8, mamndenyi, madame B, zion daughter, slave, c6, Babu Asprin, Baba V, nitonye, mungi, Bishanga Arabela, Arushaone, Vin Disel, manoah, Filipo. Bro mkubwa Mr. Rocky
 
Last edited by a moderator:
ulikuwa ufahamu kuwa mm ni Mama Mchungaji na muulize kaka yangu Erickb52, na Mr Rocky watakuambia na wewe stevoh nani amekuruhusu unitangaze humu kuwa mm ni mama Paroko? acha nipasue jipu hapa hapa ili Marry Hunbig ajue kuwa wewe nakudai zaka hujatoa huu mwezi wa kumi sasa kwanini lakini umekuwa mwizi wa fungul la kumi wewe kijana? acha kwenda kunywea pombe mali ya Mungu wewe.... mrudie muumba wako njoo parokiani wewe utubu
 
mama mimi si mlevi kabisaaa nimesharudi siku nyingi my wife tu bi anajua hilo.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikufundishe namna ya kumquote mtu fanya hivi click @ kisha weka jina la huyo unayequote usiweke nafasi hilo jina la huyo unayequote litatokea bila ya wewe kuweka bold hii ni kwa wale wenzangu na mimi kama stevoh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom