Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,392
Last edited by a moderator:
Vin Diesel anampango gani na mpunga wa mwaka huu? mwambie kuwa makini asee machalii tuna hasira kha!Vin Diesel boar unyamaze kimya usije tuu ukatoa siri kuwa ulishawahi kuwa na Marry Hunbig itakuw abalaa jingine kwa stevoh
halafu nikisema wewe ndo mwenyekiti wa penda penda club Erickb52 anasingiziwa unakataa
copy kwa Mungi
Vin Diesel amekua kirusi zaidi ya kirusi chenyewe
Mtu kila mwanamke anamtaka na anataka watu humu ndani wapigane ngumi Baba V hebu mpe ban ya wiki moja aise
Mungi niaje babangu chaliii ya Arusha Vin Diesel hajui kuwa machalii wana hasira mbaya tena wamevuta cha arusha hawajui kusini wala kaskazini aiseVin Diesel anampango gani na mpunga wa mwaka huu? mwambie kuwa makini asee machalii tuna hasira kha!
yes worry out.pia natoa zawadi kwa bwana harusi aje dukani achague itakayo mfaa
View attachment 79674
sijatambulishwa kwako eti ndio maana. Au shemeji wa kufikia?
Vin Diesel boar unyamaze kimya usije tuu ukatoa siri kuwa ulishawahi kuwa na Marry Hunbig itakuw abalaa jingine kwa stevoh
halafu nikisema wewe ndo mwenyekiti wa penda penda club Erickb52 anasingiziwa unakataa
copy kwa Mungi
hayo maneno. Asije kutuchafulia hali ya hewa.
kaka nitakukana kabisaaa kumbe wajua yote hayo itanibidi niwe mwana FA SASA IVI KUWA BADO NIPO NIPO. Shit.
Haya na wote tuunge mkono ndoa ya stevoh na Marry Hunbig!
Vin Diesel naunga mkono hoja ya ndoa ya stevoh na Marry HunbigHaya na wote tuunge mkono ndoa ya stevoh na Marry Hunbig!
Mungi niaje babangu chaliii ya Arusha Vin Diesel hajui kuwa machalii wana hasira mbaya tena wamevuta cha arusha hawajui kusini wala kaskazini aise
Halafu hajui stevoh nae ni chalii ya arusha