PreGE2025 Natangaza kugombea Ubunge

PreGE2025 Natangaza kugombea Ubunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
1. Uwe na hela ya kutosha.
2. Uwe na mganga mzuri na kafara iwe kubwa.
3. Uwe na wakubwa nyuma yako mfano wa Riz1 na January Makamba.

Tofauti na hayo yote hutoboi, na haya ndio yanasababishwa tuendelee kuongozwa na watu wasio na uchungu na nchi hii
 
==
Mimi kada wa CCM mwenye namba ya uanachama CM 1774858,

Natangaza kugombea na kushinda nafasi ya Ubunge katika Jimbo letu.

Uzoefu ndani ya chama ni miaka 7,

Naomba ushauri, mawazo na connections ni jinsi gani naweza kushinda na kuwaongoza Wananchi wangu,

Asanteni sana naombeni baraka zenu,
Husitusumbue!
 
1. Uwe na hela ya kutosha.
2. Uwe na mganga mzuri na kafara iwe kubwa.
3. Uwe na wakubwa nyuma yako mfano wa Riz1 na January Makamba.

Tofauti na hayo yote hutoboi, na haya ndio yanasababishwa tuendelee kuongozwa na watu wasio na uchungu na nchi hii
Mimi Nina Mungu tu, hapo vipi?
 
Mimi Nina Mungu tu, hapo vipi?

Kama kweli wewe ni mcha Mungu, na dhamira yako ni kwenda kuondoa dhuluma, kuleta haki na usawa basi Mwenyezi Mungu kweli atakuwa na wewe na kukupigania.

Ila kama dhamira yako ni kama ya hao waliopo na kujikomboa kimaisha basi tambua hapo Mwenyezi Mungu hayupo na wewe endelea kuwa na Shetani tu usiwe mnafiki.
Zungumza na nafsi yako.
 
Wajumbe watapiga tu pesa zako kisha watamchagua mtu wao ambaye amekuwa akiwahonga tokea 2022.
 
Kama kweli wewe ni mcha Mungu, na dhamira yako ni kwenda kuondoa dhuluma, kuleta haki na usawa basi Mwenyezi Mungu kweli atakuwa na wewe na kukupigania.

Ila kama dhamira yako ni kama ya hao waliopo na kujikomboa kimaisha basi tambua hapo Mwenyezi Mungu hayupo na wewe endelea kuwa na Shetani tu usiwe mnafiki.
Zungumza na nafsi yako.
Mimi ni mtu wa Mungu 100%
Dhamira yangu ni kweli,

Na nitasimama na Wananchi wangu kwa wakati wote,
 
Back
Top Bottom