CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 6,087
- 5,352
- Thread starter
- #61
Sina pesa ila nina MunguUna hela?
Sina pesa ila nina MunguUna hela?
Mkuu nadhani kila mmoja ana uhuru wa kuwa mwanachama wa chama anachokubaliana na policies zake...... yaani hapa Jeifu watu wengi mnajifanya kupambania uhuru wa kujieleza,uhuru wa mawazo na uhuru wa kufanya jambo bila kuingiliana, lakini kwasababu ya tofauti ya vyama nawewe unamtukana kwa kumwita mpuuzi? Unadhani hapo uko sahihi? Tuishi kile tunachokipigia keleleJapokuwa ni haki yako ila naomba nikuite we ni MPUUZI. Ni aibu kuona kijana leo hii unaunga mkono hicho chama, anyway all the best.
kuwa unadhani kuwa tu sisiem inatosha wewe kupata ubunge ? waulize wakongwe Akina lukuvi wakwambie....Ili ushinde Uchaguzi fedha sio kitu Cha kwanza dada yangu