Kuna mwenzako huku anagombea viti maalum, katuunga kenye group anatuchangisha..najiuiza anataka pesa za nini nimekosa jibu.Ili ushinde Uchaguzi fedha sio kitu Cha kwanza dada yangu
Pesa sio kila kitu kwenye Uchaguzi ila Mgombea mzuriKuna mwenzako huku anagombea viti maalum, katuunga kenye group anatuchangisha..najiuiza anataka pesa za nini nimekosa jibu.
Sijaweza kumuuliza kwasababu sina mpango wa kumchangia.
HapanaSio Tumbili huyu?? Mzee wa PPP
Kwa uandishi wako wewe ni Chadema. Je, unajua Lissu yupo korokoroni? Mbona bado hujakinukisha na wakati wewe sio mpuuzi kama huyu mtoa post?Japokuwa ni haki yako ila naomba nikuite we ni MPUUZI. Ni aibu kuona kijana leo hii unaunga mkono hicho chama, anyway all the best.
Nakuwaje mpuuzi mkuu?Kwa uandishi wako wewe ni Chadema. Je, unajua Lissu yupo korokoroni? Mbona bado hujakinukisha na wakati wewe sio mpuuzi kama huyu mtoa post?
Mkuu samahani kama hukunielewa? Nilikuwa namjibu huyo aliyekuita mpuuzi kuwa kama wewe ni mpuuzi mbona yeye mwerevu hajaenda kukinukisha Polisi hadi kumtoa Lissu? Nisamehe kwa any inconvenience that I didn't mean!Nakuwaje mpuuzi mkuu?
Kwahiyo huyu mwenzako anatuibia au sio?Pesa sio kila kitu kwenye Uchaguzi ila Mgombea mzuri
😀Kwahiyo huyu mwenzako anatuibia au sio?
Kuwa mkweli tu,kinachokupeleka huko ni kujaza tumbo lako tu,si maslahi ya watanzania.Mkuu kila mmoja na mapenzi yake hatuwezi wote kuwa CHADEMA
Umejuaje kama wewe ni maarufu humu?.Nimekuwa maarufu sana humu jf,mh.Rais nione japo Kwa u DC
Kila Uzi wa siasa lazima wani tagUmejuaje kama wewe ni maarufu humu?.
Ndio mawazo yako haya falaaaasi weweNimekuwa maarufu sana humu jf,mh.Rais nione japo Kwa u DC
Kwa sababu ya ujinga wako ndo mana wanaku tagKila Uzi wa siasa lazima wani tag
Wewe kidampa utabaki kusaidiana na kunguni mwenzio msaidizi Lucas Mwashambwa kuandika magazeti marefu humu yasiyo na tija , hata kuwa DAS hamtoambulia maana CCM ina wenyewe.Nimekuwa maarufu sana humu jf,mh.Rais nione japo Kwa u DC
Kuna miaka 5 mingine kuanzia 2026-2030 lolote linaweza kutokea.Wewe kidampa utabaki kusaidiana na kunguni mwenzio msaidizi Lucas Mwashambwa kuandika magazeti marefu humu yasiyo na tija , hata kuwa DAS hamtoambulia maana CCM ina wenyewe.
Uta mtag mtu mjinga? Wewe ni mjinga Hadi una debate na mjinga? 😂😂Kwa sababu ya ujinga wako ndo mana wanaku tag
Basi wewe ndio maarufuNdio mawazo yako haya falaaaasi wewe
WE NEED REFORMS.==
Mimi ni kada mtiifu wa Chama Cha Mapinduzi CCM mwenye namba ya uanachama CM 1774858,
Rasmi natangaza kugombea na kushinda nafasi ya Ubunge katika Jimbo letu kwa nguvu ya Mungu,
Uzoefu ndani ya chama ni miaka 7,
Naomba ushauri, mawazo na connections ni jinsi gani naweza kushinda na kuwaongoza Wananchi wangu,
Asanteni sana team jf naombeni baraka zenu,