PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 12,575
- 9,081
PumbavuNina hasira sana baada ya huyu anayejiita oil chafu kwa kunitajia ndugu yangu wa karibu kabisa, kwenye list yake ya tatu, ina pain sana aisee.
Sijui nitampataje?
PumbavuNina hasira sana baada ya huyu anayejiita oil chafu kwa kunitajia ndugu yangu wa karibu kabisa, kwenye list yake ya tatu, ina pain sana aisee.
Sijui nitampataje?
Utasingiziwa kwamba ulienda kuomba kufilwa kwa kulazimisha na hii baada ya kupigwa vibaya sana.Sasa nikienda kwake siwez kubambikiziwa kesi nyingne?
Ushaanza kuogopa, umefeli broSasa nikienda kwake siwez kubambikiziwa kesi nyingne?
Una hasira kwa kuwa ni ukweli si ndiyo, je huyo ndugu yako anasemaje juu ya hili maana hapa Bongo (Dar) vijanadume ni wengi mno, wanapakatwa tu na wenzao huku wakiminywa mapumbu.Nina hasira sana baada ya huyu anayejiita oil chafu kwa kunitajia ndugu yangu wa karibu kabisa, kwenye list yake ya tatu, ina pain sana aisee.
Sijui nitampataje?
Je, umemuuliza nduguyo kama anasingiziwa? Usikute mwenzio ndiyo kwanza anakushangaa wewe kukasirikia starehe yake, Bongo hii si kila mwanamme umuonaye ni mwanamme kweli.Nina hasira sana baada ya huyu anayejiita oil chafu kwa kunitajia ndugu yangu wa karibu kabisa, kwenye list yake ya tatu, ina pain sana aisee.
Sijui nitampataje?