natamaniii,tamani,tamani,taman iiii!!!

ummu kulthum

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
2,785
1,317
natamani yaani natamani sanaaaa yaani natamani kuwa.........yaani masela natamani eti mademu je mpo?mi natamani je wewe hapo ulipo unatamani nini?
 
Natamani nini,
sijui hata mimi.

mamndenyi si ufunguke unatamani nini?jamani
 
Subiri wakware waje

haki ya jf vile bishanga siwaogopi nawasubiri.........sema basi unatamani nini yakheee!!
 
nakutamani kuvuta bangi misokoto kumi mpaka sasa nshastua mitano..

du ndetichia uko salama kweli?
 
@ummu kuluthumu, si nilshakwambiagaaa. Ndo mana nkakwambia unikumbushe.
 
Natamani natamani nini tenah! Aah natamani..... Nimesahau.
Aaaah kumbe natamani money2.
 
mrembo Erotica umefka sa ngap huku? Samahan uzur wako ndo umesababsha nikusifie.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom