Wewe data nitakuchapa ujue??? Yaani unaniita mie mnafiki?? Ngoja nimuite my husband Mr Rocky aje akunyooshe.
NB: Hicho kimchina chako touch screen ujifunze kukitumia vyema mf. Majinina ndo nini sasa? Namakumbuka ndo nini? ?Dena tamsi ndo nani huyo??
Huyu data naona kaja na mwenge mjini na bado ule ukijiji haujamtoka aise
hajui watu wanaishije mjini mpaka ana mwita my wife wangu mpendwa mnafiki Dena Amsi msamehe bure atoe vumbi la kijiji kwanza na aangalie majengo yameota juu ya mengine huku mjini
Cc Ntuzu Tized, muuza ubuyu
Hivi huyu Dena Amsi si ndio yule kigoli niliyekabidhiwa akitokea shamba kuvuna lakini??? Na ilikua baada ya mumewe kuwekwa mateka na miss chagga ? Aisee kiwatengu na Ntuzu nisaidieni apa moyo unaniuma naliwa vyangu ivi ivi aisee!!!!
Hivi kwani ndoa yangu na Dena Amsi ilivunjwa na nani aise mpaka ukabidhiwe wewe Tized
Maana hakuna sehem hata moja nilideclare kuwa ndoa yangu imevunjika na kukkabidhi talaka mke wangu Dena Amsi
Hii ndoa ina miaka kadhaa humu na haivunjiki kwa maneno tuu muulize Kaizer na Nicas Mtei na Arushaone wanaijua pia na huyo kiwatengu
Aisee hii ndoa yako mkuu ikonimara sana asikwambie mtu
Hivi kwani ndoa yangu na Dena Amsi ilivunjwa na nani aise mpaka ukabidhiwe wewe Tized
Maana hakuna sehem hata moja nilideclare kuwa ndoa yangu imevunjika na kukkabidhi talaka mke wangu Dena Amsi
Hii ndoa ina miaka kadhaa humu na haivunjiki kwa maneno tuu muulize Kaizer na Nicas Mtei na Arushaone wanaijua pia na huyo kiwatengu
She is very delicious I can tell so far and at times such as this. Kaizer unataka kunifanya nitoe ushahidi aa ambao sijapanga kuutoa. Anyway ukimuamsha aliyelala utalala wewe... so ngoja njikalie kimya nijilie tu vyangu mie. MTUWACHE TULALE
Mkuu kumbe unao wawili...? Hongera
Ntuzu hana la kusema maana na yeye ni mzee wa mchepuko mara mke ni Khantwe ila anamtaka miss chagga mara ladyfurahia haeleweki yuleHahaa labda Ntuzu aje hapa amtetee
She is very delicious I can tell so far and at times such as this. Kaizer unataka kunifanya nitoe ushahidi aa ambao sijapanga kuutoa. Anyway ukimuamsha aliyelala utalala wewe... so ngoja njikalie kimya nijilie tu vyangu mie. MTUWACHE TULALE
Aisee......
Mchepuko huwa hauhesabiwi mkuu kabanga
Ntuzu hana la kusema maana na yeye ni mzee wa mchepuko mara mke ni Khantwe ila anamtaka miss chagga mara ladyfurahia haeleweki yule
:A S-eek::A S-eek::A S-eek:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:
Umeona mtoto alivyo mharibifu huyu eehhh na anakuja hapa kusema eti anamtaka shemeji yake
Kweli kama kuna chuo wanatoa certificate ya kukataa undugu naomba nifahamishwe nikachukue cheti cha kumkataa Tized kuwa ndugu yangu
Hahahaa kuna seheme ya uasili wa vizazi na vifo nadhani.patafaa kukataa undugu mkuu
Hahahaa kuna seheme ya uasili wa vizazi na vifo nadhani.patafaa kukataa undugu mkuu
kitu kizuri kula na ndugu yako.
Acha izo Bro.