Natamani siku moja nimuone Mdude Bungeni, sipati Picha

Natamani siku moja nimuone Mdude Bungeni, sipati Picha

Hapa ndio napoomza chadema akili hamna,kweli mdude au mbunge?? Hilo bunge litahamia kule mirembe
 
Sio kweli, Mdude yuko Makini, anaelewa nini anachokisimamia,

Tuache ushabiki,

Tumpe maua yake, Ni kijana wa kuigwa,

Sio hawa vijana wanao diriki kujiita CHAWA! na kusimama kifua mbele, Inasikitisha.
Ni kweli niliwahi kumsikiliza anajua na anajiamini mno, kwa hoja hamna wa kumfunga ukizingatia na polisi wenyewe sasa
 
Ni kweli niliwahi kumsikiliza anajua na anajiamini mno, kwa hoja hamna wa kumfunga ukizingatia na polisi wenyewe sasa
1692375511358.png
 
Hatakuja fika bungeni, ila atakufa kabla ya muda wake
 
Back
Top Bottom