Natamani siku moja nimuone Mdude Bungeni, sipati Picha

Natamani siku moja nimuone Mdude Bungeni, sipati Picha

bro kweli mdude? you are not serious bro ataenda kuongea nini humo wewe huoni hata chadema mwenzake wanashindwa kumpoa madaraka makubwa maana wanamjua hana kitu kichwani ni tu wa kuropokamropoka tu atawaharibia chama
Wewe unaongea nini? But yoko too far ukilinganisha na wewe hapo, Mdude ni Public Figure hadi hapo tulipo, wewe je? Mfano unakufa leo nani atajua zaidi ya ndugu zako na marafiki tu? Mdude ni levo nyingine
 
Nasikitika Naku_add kwenye ignore list yangu.

Fuatilia historia ya Mdude.

Pata nafasi ya kusoma japo kitabu chake.

Utabaini na kuona utafauti wa mdude na wewe au vijana wanao jiita chawa.

Sorry nimeku add kwenye ignore list
Humu wengi wamejawa chuki tu Ila Mduse yuko vizuri sana, shida ni chuki binafisi
 
hata wewe hapo ulipo ni chawa wa mdude yaani bora hata mimi wewe kuwa chawa wa huyo kinuka mdomo ni dharau kuliko dharau yenyewe we endekeza tu ujinga
Hapo ndio uwezo walo umeishia? Vipi hao ambao haaanuki.mdomo wamesaidia vipi nchi hii?
 
Mdude ni kama mfia imani hana anachojua zaid y kutetea imani/propagandalist ila cyo professional kama walivyo mazuzu mengne y CCM
Wewe unajua nini na unacho kijua kimesaidia nini nchi hii? Okay mdude hajui kitu lakini sauti yake inatoka, wewe unaye jua kila kitu una kipi cha maana cha kushoo?
 
Mdude ni kama mfia imani hana anachojua zaid y kutetea imani/propagandalist ila cyo professional kama walivyo mazuzu mengne y CCM

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio kweli, Mdude yuko Makini, anaelewa nini anachokisimamia,

Tuache ushabiki,

Tumpe maua yake, Ni kijana wa kuigwa,

Sio hawa vijana wanao diriki kujiita CHAWA! na kusimama kifua mbele, Inasikitisha.
Mkuu usipate shida sana na watu kama hawa, mwambie akaisome ile barua aliemwandikia RCO wa Mbeya wakati wanataka simu yake hapo ndio utaelewa kuwa maude yupo level zingine hata sheria anaijua
 
bro kweli mdude? you are not serious bro ataenda kuongea nini humo wewe huoni hata chadema mwenzake wanashindwa kumpoa madaraka makubwa maana wanamjua hana kitu kichwani ni tu wa kuropokamropoka tu atawaharibia chama
Sasa Mdude na babu Tale jumlisha Musukuma Nani Ana akili ? ,Weka na Rango Kama kifungashio
 
Kuna wabunge wengi ndani ya bunge la sasa kichwani ni kweupe.

Ni bora hata mdude angekuepo bungeni kuliko hawa walamba miguu.
 
Wewe sio levo ya Mdude, yule awe kichaa asiwe kichaaa ila ukweli sio levo yako hata kama ni kichaaa
Ni kweli kabisa ningeshangaa Sana kama ungeniweka levo moja na vichaa kwa nimependa jinsi ulivyonilindia heshima yangu.
 
kwa nchi za wenzetu mtu kama Mdude wananchi wanaomba awekwe mbali na wengine ili kujilinda maana atakuwa ameonesha dalili zote za kudhuru watu kichaa kikipanda
Kama kichaa msukuma, nape na Lusinde wapo bungeni Leo mtu jasiri na mpigania haki Mdude ashindwe kuwa sehemu Bunge?.
 
Binadamu wote ni sawa
Huwa sipendi ubaguzi mkuu
Mdude yupo Tanzania mm nipo zangu germany huku ila wote ni levo sawa
Kwani ukiwa German huwezi kutumia jina lako halisi hadi ujifiche? Mbona chawa mwenzako mwijaku anajulikana tu na hajifichi
 
Back
Top Bottom