Natamani kuolewa sasa jamani,,
Niishi na mume wangu,asubuhi aniamshe twende kazini jion niwahi nyumban nimpikie akija nimfungulie mlango natamani natamani sijui itakuwa tarehe ngapi kikwazo ni dini zetu MUNGU simama sasa !!aaaaaaggg
"mwanamke hana dini" huu msemo una kaukweli kiasi chake..
kUMBE UNAFANYA UASHEARTI BADO UNATAKA NDOA!! Bikira huna bado wataka ndoa, hilo ombi halijaenda kokote. fanya matengenezo kwanza wewe mwenyewe. then mwambie Mungu akupe Mume!! sio MSHARATI MWENZIO HUYO.
Mie mkristo pure tena nmelelewa katk din kabsa mwenzang muslim hapo ndo kikwazo

Usijipe moyo mama et kua MUNGU ni mmoja ndo sbb ya kubadili dini na YESU je nae vipi, kuna tofauti kubwa sana kati ya hizi dini 2 unless useme hata huo ukristo huujui vizuri
Mie mkristo pure tena nmelelewa katk din kabsa mwenzang muslim hapo ndo kikwazo
Nawaza mengi apa,,mara naolewa mwaka mmoja anataka aoe mwngne din yake yaruhusu dini yangu nimeikana ntakuwa mgeni wa nani??
Hawezi kukukataa dada, na wala wewe hutakua wa mwanzo kufanya hivi. Wapo wengi na maisha yanaendelea kama kawaida, unachotakiwa wewe ni kua na msimamo imara. Kwanini asikuelewe? Nipm nikusaidie
Thubutu tunazo sana
"mwanamke hana dini" huu msemo una kaukweli kiasi chake..
Kubadili dini siyo tatizo kwangu coz naamini Mungu ni mmoja,,tatizo ni baba yangu ambaye ni mzee wa kanisa??atanikataa kabisa
Usijidanganye mungu si mmoja wapo wengi tu kuna watu wanaabudu ng'mbe na kumfanya mungu wao nako unaweza kwenda kwa sababu wanatumia jina la mungu? je ushajua ni mungu yupi anayeabudiwa huko?Kubadili dini siyo tatizo kwangu coz naamini Mungu ni mmoja,,tatizo ni baba yangu ambaye ni mzee wa kanisa??atanikataa kabisa
hiyo ya "asubuhi aniamshe twende kazini" angalie asiwe yule unaamka kwenda job yeye unamwacha amelala, unarudi unakuta kalala....ndoa utaiona chungu! wa hivi ndo wengi siku hizi