Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Huu ujumbe inaonekana umebeba maana nzito sana nyuma yake.Kila nikiusoma napata maana tofauti tofauti.Wewe umeuelewa vipi?
Doh...wewe ndio kabisa umenivurugaSimple mathematics, nimeambatanisha jibu hapoView attachment 1613380
[emoji15][emoji15][emoji15]Simple mathematics, nimeambatanisha jibu hapoView attachment 1613380
Mkuu huenda wewe ukawa na tafsiri sahihi kuliko watu wote.Hata mimi yalinijia mawazo hayahaya.Simple mathematics, nimeambatanisha jibu hapoView attachment 1613380
More easier....[emoji23][emoji23][emoji23]Doh...wewe ndio kabisa umenivuruga
ila ukimwangalia jamaa mwenye ujumbe wake ameweka emoji ya kucheka,ni kama amekejeli hivi.Hiyo emoji aliyoweka ina maana nzito kuliko alichoandikaNadhani data base ipo sehemu nyingine zaidi ya Tz.
Utaalamu wa HGL lakini.......msiniulize
Zile emoji nimezitafasiri kama hivi (sio tafasiri rasmi)ila ukimwangalia jamaa mwenye ujumbe wake ameweka emoji ya kucheka,ni kama amekejeli hivi.Hiyo emoji aliyoweka ina maana nzito kuliko alichoandika
Yeah labda liwe shinikizo tuila ukimwangalia jamaa mwenye ujumbe wake ameweka emoji ya kucheka,ni kama amekejeli hivi.Hiyo emoji aliyoweka ina maana nzito kuliko alichoandika
Umewaza vizuriZile emoji nimezitafasiri kama hivi (sio tafasiri rasmi)View attachment 1613383
upo sahihi 100%%%% kwa utaalam wangu wa CYBER SECURITY ATTACK (confidentiality, intergrity, and availability)Nadhani data base ipo sehemu nyingine zaidi ya Tz.
Utaalamu wa HGL lakini.......msiniulize
Let us wait and observeupo sahihi 100%%%% kwa utaalam wangu wa CYBER SECURITY ATTACK (confidentiality, intergrity, and availability)
Emoji ya kucheka aliyoweka jamaa ina ujumbe mzito kuliko alichoandika.Komaa kutafsiri hiyo emoji, achana na alichoandika!upo sahihi 100%%%% kwa utaalam wangu wa CYBER SECURITY ATTACK (confidentiality, intergrity, and availability)
Okay,nimekuelewa mkuuupo sahihi 100%%%% kwa utaalam wangu wa CYBER SECURITY ATTACK (confidentiality, intergrity, and availability)