NATAMANI SANA KUWA MJEDA WAPI PAKUANZIA

Ni uamuzi mzuri kutaka kufanya unachopenda ili kuwa karibu zaidi na kujua mambo ya Jeshi hapo ulipo zikitoka kozi za mgambo jaribu kupiga ili uanze kwenda kwenye uelekeo ucone aibu maana ndicho unachopenda...
Habar za muda huu wana jf
Mimi ni kijana wa miaka 25+ niende moja kwa moja kwenye maada ndoto yangu kubwa ni kuwa soldier tokea nikiwa mdogo nilikuwa nataman san kuwa mjeda ila muda ulikuwa hujatimia ila kwasas naona ndio muda mwafaka baada ya kuhitim shahada . lengo LA hii thread ni kutaka kujua wapi pakuanzia au kuna process gani ili niweze kufanikiwa katika hili ? Karibun kwa maelezo na ushauri pia.
 
Njoo jandoni upikwe usiwe kama akimama
giphy(5).gif
 
Habar za muda huu wana jf
Mimi ni kijana wa miaka 25+ niende moja kwa moja kwenye maada ndoto yangu kubwa ni kuwa soldier tokea nikiwa mdogo nilikuwa nataman san kuwa mjeda ila muda ulikuwa hujatimia ila kwasas naona ndio muda mwafaka baada ya kuhitim shahada . lengo LA hii thread ni kutaka kujua wapi pakuanzia au kuna process gani ili niweze kufanikiwa katika hili ? Karibun kwa maelezo na ushauri pia.

una degree ya kitu gani kwanza isije kua BAED unataka jeshi
 
Itakuwa vizuri ukienda kambi ya jeshi iliyo karibu nawe kwa maelezo ya uhakika.
Kila la kheri
 
Back
Top Bottom