Almanusura nifumaniwe na Mjeda

Almanusura nifumaniwe na Mjeda

Mimi Melki

Senior Member
Joined
Mar 31, 2022
Posts
155
Reaction score
260
Hii ni kwetu ambao tunafanya kazi ambazo ni hatarishi katika mazingira! Hapa ndipo nilipokuja kufahamu kuwa sio wanawake peke yao wanaofanya kazi hatarishi, mfano wale wanaouza miiili yao!!

Kipindi cha nyuma kidogo kabla ya kuahirisha shughuli ya upakaji rangi kucha(pedicure na manicure) na ubandikaji kope niliyoifanya kwa kupita nyumba hadi nyumba, niliwahi kukumbwa na mkasa!

Kabla ya mkasa wenyewe, naomba nizungumzie changamoto ya hii biashara, unaweza kujiwekea malengo kuwa kwa leo lazima nitengeneze elfu ishilini ila usiipate, sio kwamba wateja hakuna! Bali wateja hufanya mabadiliko ya pesa kuwa huduma na hata usijue humo mnamoelekea ni kwake au pa yeye na mme wake! wataalamu wa kuchakata mbususu watakuja kusema kuwa hiyo ni fursa! Kwa kuwa ni rahisi kuongea bila kuwasahau wale wazee wa kula kimasihara Hivyo unajikuta kwa siku umetengeneza elfu tatu tu!

Niliwaki kuwa na mteja mmoja, alikuwa na mtoto mmoja na dada wa kazi, chumba na sebure! Katika pita pita zangu nilipita mahali alipokuwa anaishi, nikamfanyia manicure, ni mtu aliyependa kucha ndefu sana! Ni mtu wa urembo! Anafaa kuwa public figure kama akina Hamisa Mobeto! Hakuwa tayari kuuacha uzuri wake upotee hivi hivi bila kuonwa na dunia! Alipendelea pia kusuka rasta za kumwaga hadi mgongoni, sometimes chache zinashuka kuziba jicho moja, nahisi nimemuongelea vya kutosha na nahisi mtakuwa mnafaham ni mwanamke wa type ipi!

Tulizoeana sana na alikuwa mteja wangu tu! Siku nyingine alinipigia simu niende kumtengeneza, pia alini connect na marafiki zake wengi tu!

Aina ya story ambazo alikuwa akigusia sana ni suala la upungufu wa nguvu za kiume hasingelikaa dakika hata mbili bila kuleta story ya nani alikuwa hana ilikuwa wapi mara lini, vitu kama hivyo! Nikifika kwake labda nina chips yangu kwenye foil ungelimsikia akisema, zinapunguza nguvu za kiume! ndipo nikamuuliza kuwa yeye ana mume au ni single mother, akasema ana mume, na mimi nikaanza kupita mule mule kumuuliza kwa utani au mume wako ndo hana?, Mbona umekuwa ukiliongelea sana jambo hili hakuwa anakasirika, badala yake aliishia kucheka cheka tu!

Nakumbuka siku moja alinipigia simu jioni niende kwake nikafanye pedicure! Ndo siku aliyonitega sana, nilipoulizia mazingira akanielewesha ndipo ukawa mwanzo wetu, nikawa nafaidi tunda kimasihara! Alisema mumewe yuko safari!

Na hata kipindi aliporejea hakunipa taarifa, badala yake alibadili ratiba ya mimi kuja mchana, ila ni siku moja moja!

Siku hiyo wakati tunamaliza zoezi nilitoka zangu nje nikakaa kwenye kibaraza kwa ajili ya kumset kucha, ukiona hivyo jua hapo nilikuwa nabandika na kumpaka rangi bure!! Ghafla bin Vuu namuona mjeda anafika pale! Mie nikajua ni mpitaji tu, nikamwambia za sahizi akanambia wewe ni nani na unafanya nini nyumbani kwangu! Nikasema mimi ni mpaka rangi kucha! Akasema unampaka nani hapa kwangu? nikasema kuna dada mmoja yumo humu ndo namsubiria! Akanambia piga magoti, nyosha mikono juu, muda huo hata yule mwanamke kagomea huko huko ndani! Baada ya muda kanibebesha mawe kwenye mikono niliokuwa nimeinyoosha juu! Kisha ndo kumuita yule mwanamke, kutoka nje akaulizwa, huyu unamfahamu? Sikuamini jibu alilosema, akatamka simfahamu, kwani imekuaje yuko mahali hapa? Sikupewa muda wa kujitetea zaidi ya makofi mawili matatu kisha nikaikimbia ofisi (vifaa vya kazi) na wallet juu!!

Kipindi cha uchakataji huyo mwanamke aliwahi nambia kuwa mumewe nguvu za kiume hana! Ila kwa misuli aliyokuwa nayo baada ya kumuona, nahisi anamsingizia!

Nilipopata uwazi wa kutoka pale nilifikia mgahawa mmoja, kisha nikaagiza chai tu ili kutuliza wenge kwa baridi iliyokuwepo siku ile!
gettyimages-80821203-612x612.jpg
 
Nilipopata uwazi wa kutoka pale nilifikia mgahawa mmoja, kisha nikaagiza chai tu ili kutuliza wenge kwa baridi iliyokuwepo siku ile!View attachment 2190860
Hahahahaha asante kwa chai bila sukari, ila ujumbe umefika
 
Sa ulilipa nini wakat hata wallet uliacha na vifaa vya kazi
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
Alikuruka futi 70.

Baada ya hapo hukuwahi kumchakata tena?
 
Utajishushia heshima yako JF kwa kueleta simulizi za kufikirika hapa (chai). Sitasoma tena thread zako.

😂😂😂😂 Asante sana kwa kumalizia vizuri hapo mgahawani.
 
Wanajeshi huwa hawana reactions za namna hiyo kwa haraka kama ulivyoelezea. Mwanajeshi hadi afunue makucha yake basi umemchezea sana sharubu.
 
Aseee huu uzi umenichekesha sanaa
 
Back
Top Bottom