farhanAlmaris14mz
Member
- Feb 2, 2023
- 9
- 18
"Kuwa mtumishi wa serikali unatoboa maisha, sasa sielewi wewe unakwama wapi"
Haya ni maneno niliyokua nikisikia kipindi cha awali but unfortunately ukweli wake umekuwa mdogo kama Mbegu ya Bamia Japo I know some of watumishi wamefanikisha ila ninachofahamu mimi ni kwa misingi au mikakati fulani ambao binafsi wametumia.
Kiufupi Maneno ni mengi sana juu ya kuendea suala zima la kufanikisha maisha hususani kwa watumishi Na kati ya yote nimegundua kuwa kufanikiwa kwa mtumishi ni Elimu kubwa kuliko ya Chuo kikuu.
Wengi walianza biashara au shughuli fulani na wakashindwa kwasabab fulani, Sababu ziko nyingi ila kwa uchache nita share nanyi why? Watumishi hawafanikishi malengo ya maisha yao;
1: PESA/FEDHA
Watumishi wengi hawajui namna gani ya kuwa na adabu nzuri juu ya pesa mfano mshahara ukiingia unatumiwa wote unaisha au akipata pesa ya ziada huitumia ikaisha, pia vile vile huchukulia simple sana mambo ya miamala(pesa) au kwa lugha nyepesi they dont care at all losing money sababu atapata next month, Apa ipo mifano mingi sana ila tutosheke na iki kidogo.
2: HESABU/MAHESABU
Tamaa hupeleka watumishi mbio kiasi kuwa hawafanyi tathmini wao huchukua tu pesa na kufanya jambo fulani na mara nyingine jambo huenda likawa la msingi kama vile ujenzi wa nyumba, ila Mahesabu ya makato ya ile fedha aliyokopa ndio hayatizami kabisa unakuta anakatwa almost nusu na robo ya riba ya ile pesa aliyokopa lets say kakopa 10Mil atapewa maybe 8.5Mil due to processing fee na kuirejesha kama 16Mil baada ya muda fulani sasa apo kimahesabu ni hatari sana.
3: MIPANGO/MIKAKATI
"Nimechukua mkopo wa 5Mil nahitaji kufanya biashara ya kuku nasikia inalipa sana" Ni vema kuwa na mipango kwanza kabla ya kuwa na fedha sababu mpango/mkakati wako utakuambia ni namna gani ufanye na kwa wakati gani na kiasi gani
4: UJUZI/MAARIFA
Umeshawahi jiuliza kila mwalimu kwanini akifanya biashara hudondokea Stationary au Co's Wanadondokea Pharmacy and so, sipingi kwamba hizi sio biashara nzuri bali najaribu kusema ni vema kuongeza ujuzi/maarifa ili kujitahidi kufanya lengo la maisha mazuri litimie kwa watumishi na najua ni ngumu but at least jitihada zitazaa tu matunda.
5: LIFE STYLE (MTINDO WA MAISHA)
"Hello, Bro njo kwa juu apa.....Bar&lounge tupate Maji ya Gold kidogo" Unakuta watumishi ndio wanaongoza kuwa na mtindo mbaya wa maisha kushinda wafanyabiashara yani unakuta ulevi ni moto umalaya moto Trust me vitu hivi viwili haivijawahi kuleta urahisi isipokuwa ugumu wa maisha tu, Na kikubwa siyo kuacha starehe bali kuangalia ni aina gani ya starehe utakayichagua na ni kwa kiasi gani itakugharimu katika maisha yako.
KWASASA NIKOMEE APA SOON NTALETA MWENDELEZO, Please Comment&Share.