Natamani sana kuongea kingereza

Nahitaji kujua kingereza cha kuongea mwenye kujua chuo ambacho naweza kusoma ndani ya mwezi 1 anisaidie umri wangu ni 45yrs
Waliomfikisha hapo ni CCM mnaowaona bora eti mnarudi mlipotea.
 
Muda wa mwezi mmoja ninaona ni mfupi.Pia ni muhimu kuwa chini ya mwalimu maalumu.Kuna baadhi ya matamshi ya maneno yanafanana lakini maneno yanaandikwa tofauti na matamshi (mchangiaji mmoja ameeleza hapo juu). Napendekeza:1. asome kwa miezi mitatu, 2. Aende British Council kwa mafunzo hayo.
 
Yo nah min, Nah wala msein.....Yo warap, how yu doin my nikka.
 
Nahitaji kujua kingereza cha kuongea mwenye kujua chuo ambacho naweza kusoma ndani ya mwezi 1 anisaidie umri wangu ni 45yrs
Anza kuongea mbona Shilole kaanza tayari, Diamond alianza mlikuwa mnamcheka sasa hivi yupo vizuri.Huwezi kujua lugha bila ya kuanza kuitumia.Kiingereza cha DIAMOND kwasasa ni kizuri kuliko wabunge wengi sana
 
Nenda magomeni mapipa muone Ras Simba na usipoelewa atakurudishia ada yako.
 
Kiongozi mi nadhani kwa huo umri wako basi kama uko dar es salaam uende pale british councell wako vizur sana
 
miaka 45 kichwa isha komaa we lisha watoto huko
 
Heri uwahi. Mama mwenzetu juzi kaumbuka Kwa mnaigeria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…