comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,165
- 16,295
- Thread starter
- #21
aseeee kumbe ni mchuna ngoziMatlda kakuchuna?[emoji16]

asante sanaPole mwaya utapata tu
Wenye hela wamekaa kimya hawaongei pengine matilda amelijua hilo huna hela naumesema unazo akasepaEebana kua na tabia ya kutembea na wanawake hovyo sio ujanja, najiwa na feelings za kupata mwanamke mwenye Tabia njema na Alieshika dini.
Nina mkosi gani mimi unakuta napanga future na mwanamke lakini mwisho wa siku ananigeuka na kusahau yote tuliopanga pamoja na gharama zangu zote nilizopoteza.
Nimempata Matilda hapa JF hata mwezi haujaisha kashaanza kuniletea mapicha, shenziiiiii!
eeeh mungu au ulishapanga tokea nazaliwa mimi nife nikiwa sina mke?! hii ni nini sasa??! aaaagh!
hembu ngoja nibaki tuu single itafahamika mbele kwa mbele maana mambo yanavyoenda inakua kinyume na matarajio.
AMA HAKIKA, unaweza ukawa Handsome na pesa unazo na usipate mapenzi ya kweli.
mimi siye.
Eebana kua na tabia ya kutembea na wanawake hovyo sio ujanja, najiwa na feelings za kupata mwanamke mwenye Tabia njema na Alieshika dini.

kibanda kipi cha chips?! mimi namiliki kampuni ya kubeti usinifananishe na wauza kiepe aseeeeBasi ni chukue mm tuyajenge.kwani sibado unakile kibanda cha chips.
aseeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
aseee upo wrong sanaWenye hela wamekaa kimya hawaongei pengine matilda amelijua hilo huna hela naumesema unazo akasepa
aseeee
Eebana kua na tabia ya kutembea na wanawake hovyo sio ujanja, najiwa na feelings za kupata mwanamke mwenye Tabia njema na Alieshika dini.
Nina mkosi gani mimi unakuta napanga future na mwanamke lakini mwisho wa siku ananigeuka na kusahau yote tuliopanga pamoja na gharama zangu zote nilizopoteza.
Nimempata Matilda hapa JF hata mwezi haujaisha kashaanza kuniletea mapicha, shenziiiiii!
eeeh mungu au ulishapanga tokea nazaliwa mimi nife nikiwa sina mke?! hii ni nini sasa??! aaaagh!
hembu ngoja nibaki tuu single itafahamika mbele kwa mbele maana mambo yanavyoenda inakua kinyume na matarajio.
AMA HAKIKA, unaweza ukawa Handsome na pesa unazo na usipate mapenzi ya kweli.
mimi siye.
okWewe ninavyokuona usioe tu utampa shida mtoto wa watu bure.
Eh 😂😂😂😂😂Umalaya dili kipindi hiki......kazi kwako kusuka au kunyoa
Nini tena?Daah
Smart guy
Sema wewe binamuWewe mwenyewe mapicha picha yako huyaoni?
Njoo nikupigee kisomo tuondoe mikosi na nikupandishe nyota ili uwe na mvuto warembo wadumu kwako bei ni sawa na bureee kabisaEebana kua na tabia ya kutembea na wanawake hovyo sio ujanja, najiwa na feelings za kupata mwanamke mwenye Tabia njema na Alieshika dini.
Nina mkosi gani mimi unakuta napanga future na mwanamke lakini mwisho wa siku ananigeuka na kusahau yote tuliopanga pamoja na gharama zangu zote nilizopoteza.
Nimempata Matilda hapa JF hata mwezi haujaisha kashaanza kuniletea mapicha, shenziiiiii!
eeeh mungu au ulishapanga tokea nazaliwa mimi nife nikiwa sina mke?! hii ni nini sasa??! aaaagh!
hembu ngoja nibaki tuu single itafahamika mbele kwa mbele maana mambo yanavyoenda inakua kinyume na matarajio.
AMA HAKIKA, unaweza ukawa Handsome na pesa unazo na usipate mapenzi ya kweli.
mimi siye.
bei gani ?Njoo nikupigee kisomo tuondoe mikosi na nikupandishe nyota ili uwe na mvuto warembo wadumu kwako bei ni sawa na bureee kabisa