Natamani sana kuoa

Natamani sana kuoa

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,207
Reaction score
16,416
Eebana kua na tabia ya kutembea na wanawake hovyo sio ujanja, najiwa na feelings za kupata mwanamke mwenye Tabia njema na Alieshika dini.

Nina mkosi gani mimi unakuta napanga future na mwanamke lakini mwisho wa siku ananigeuka na kusahau yote tuliopanga pamoja na gharama zangu zote nilizopoteza.

Nimempata Matilda hapa JF hata mwezi haujaisha kashaanza kuniletea mapicha, shenziiiiii!

eeeh mungu au ulishapanga tokea nazaliwa mimi nife nikiwa sina mke?! hii ni nini sasa??! aaaagh!

hembu ngoja nibaki tuu single itafahamika mbele kwa mbele maana mambo yanavyoenda inakua kinyume na matarajio.

AMA HAKIKA, unaweza ukawa Handsome na pesa unazo na usipate mapenzi ya kweli.

mimi siye.
 
Pole mwaya utapata tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom