Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
Leo nlikuwa nasikiliza Radio Kasibante Mtangazaji nguli Richard Leo amethibitisha kuwa Bukoba bila sh 3000+ hupati mboga mboga aina ya Kabeji. Nikasema wallah twafwa. Manake watu wazima badala ya hata kufikiria kupunguza makali ya tatizo wao wako busy na kadi ya Slaa