natamani mume wangu anywe pombe

teh teh teh smile nime isoma hii...kumbeeee

ingekua mtu kila anapozini anatoka kitundu wengine mngekua kama neti humu
progress.gif
ahahaa sijui wewe utakuwaje wallah?
 
i think she is dreaming. First lady naomba mumpe ushauri huyu dada naona anataka kujichanganya huyu hajui anachoongea. Kuja saa nne then asiwe na nyumba ndogo ni sawa na kutaka jua lichomoze saa nne usiku. She cannot avoid na akicheza atafanya blunders ambayo ita mcost
tena akirudi mapema namrudisha
 
hebu nipigishe mswaki wa maskio, hako kapombe unakompendekezea anywe kidogo na kiasi , kanampa faida ipi? Na wewe unanufaika nini na hicho kiasi kidogo cha pombe atakayokunywa ?
basi tu ndo flavour yangu
 
mimi nina upako wewe usipime? Nikisimama tu mapepo yanatimua yote

Watu wenye upako siyo wepesi wa kuongea maneno unayosema kwani wanajua kabisa maneno huumba na huepuka vitu ambavyo vita wa cost. may be wewe ni mnywaji na unataka kujustfy kwa kumtaka mume anayekunywa. NAKUSHAURI USIJARIBU UTALIA MAISHA YAKO YOOOTE YA NDOA. Nina mafano zaidi ya kumi na hapa nilipo sinywi na ninaishi comfortable na narudi nyumbani mapema na mke wangu yuko very happy about me na watoto wakiona saa moja imefika na dad sijafika home hunipigia kutaka kujua nini kimenipata mpaka saa hizo. hayo ndiyo maisha na siyo vurugu unazotaka kujiletea mwenyewe UTAJUTA!!!!!!!!!!!!!
 
watu wenye upako siyo wepesi wa kuongea maneno unayosema kwani wanajua kabisa maneno huumba na huepuka vitu ambavyo vita wa cost. May be wewe ni mnywaji na unataka kujustfy kwa kumtaka mume anayekunywa. Nakushauri usijaribu utalia maisha yako yooote ya ndoa. Nina mafano zaidi ya kumi na hapa nilipo sinywi na ninaishi comfortable na narudi nyumbani mapema na mke wangu yuko very happy about me na watoto wakiona saa moja imefika na dad sijafika home hunipigia kutaka kujua nini kimenipata mpaka saa hizo. Hayo ndiyo maisha na siyo vurugu unazotaka kujiletea mwenyewe utajuta!!!!!!!!!!!!!
mimi sinywi hata soda.
Lakini napenda sana wanaume wanaokunywa kwanza ni wajanja ,wanajua kutafuta hela,pia si washarishari
 
a) natamani mume wangu awe ana drink kidogo asiwe mlevilakini
(b) natamani asirudi home mapema arudi by saa nne usiku hivi ,itakuwa poa ila isiwekatoka kwa nyumba ndogo roho yangu nyepesi mie nitakufa
(c) sipendi mwanaume anayewahi nyumbani kumenya vitunguu swaumu,kukuna nazi nakutwanga tangawizi na kunipigisha maumbea ya mtaa,bora akae mtaani huko na wanaume wenzie apate maujanja yamaisha

(d)asiwe mlokole wa kiviile awe tu mcha mungu ,mlokole anaweza kukuambia nimeoteshwa maono waifu tufunge siku saba pia ninashuhudiwa moyoni nimuoe mwanakwaya fulani
by the way sijui wkend hii nitoke vipi
ngoja niwasiliane na mchungaji wangu kama kuna sehemuya kutoa huduma ya maombi leo,maana shetani amewafunga watu nataka nikawafungue wawe huru .amina
i love u members
sitaman mwanaume wa hivi hata chembe

NATAMAN KWAYA MASTA
 
Mimi nikirudi mapema watoto wangu wanachukia,wanasema Dad akirudi mapema anapenda kuangalia BBC,Aljazeera,Sky News wakati wao wanataka kuangalia katuni ha ha ha ha.

Watu wenye upako siyo wepesi wa kuongea maneno unayosema kwani wanajua kabisa maneno huumba na huepuka vitu ambavyo vita wa cost. may be wewe ni mnywaji na unataka kujustfy kwa kumtaka mume anayekunywa. NAKUSHAURI USIJARIBU UTALIA MAISHA YAKO YOOOTE YA NDOA. Nina mafano zaidi ya kumi na hapa nilipo sinywi na ninaishi comfortable na narudi nyumbani mapema na mke wangu yuko very happy about me na watoto wakiona saa moja imefika na dad sijafika home hunipigia kutaka kujua nini kimenipata mpaka saa hizo. hayo ndiyo maisha na siyo vurugu unazotaka kujiletea mwenyewe UTAJUTA!!!!!!!!!!!!!
 
a) natamani mume wangu awe ana drink kidogo asiwe mlevilakini
(b) natamani asirudi home mapema arudi by saa nne usiku hivi ,itakuwa poa ila isiwekatoka kwa nyumba ndogo roho yangu nyepesi mie nitakufa
(c) sipendi mwanaume anayewahi nyumbani kumenya vitunguu swaumu,kukuna nazi nakutwanga tangawizi na kunipigisha maumbea ya mtaa,bora akae mtaani huko na wanaume wenzie apate maujanja yamaisha

(d)asiwe mlokole wa kiviile awe tu mcha mungu ,mlokole anaweza kukuambia nimeoteshwa maono waifu tufunge siku saba pia ninashuhudiwa moyoni nimuoe mwanakwaya fulani
By the way sijui wkend hii nitoke vipi
Ngoja niwasiliane na mchungaji wangu kama kuna sehemuya kutoa huduma ya maombi leo,maana shetani amewafunga watu nataka nikawafungue wawe huru .amina
i love u members

Mambo vp mamito,
Mungu wetu ni mwema atakujibu maombi yako,
Love u sana,
Wiki end njema aiseee!
 
a) natamani mume wangu awe ana drink kidogo asiwe mlevilakini
(b) natamani asirudi home mapema arudi by saa nne usiku hivi ,itakuwa poa ila isiwekatoka kwa nyumba ndogo roho yangu nyepesi mie nitakufa
(c) sipendi mwanaume anayewahi nyumbani kumenya vitunguu swaumu,kukuna nazi nakutwanga tangawizi na kunipigisha maumbea ya mtaa,bora akae mtaani huko na wanaume wenzie apate maujanja yamaisha

(d)asiwe mlokole wa kiviile awe tu mcha mungu ,mlokole anaweza kukuambia nimeoteshwa maono waifu tufunge siku saba pia ninashuhudiwa moyoni nimuoe mwanakwaya fulani
By the way sijui wkend hii nitoke vipi
Ngoja niwasiliane na mchungaji wangu kama kuna sehemuya kutoa huduma ya maombi leo,maana shetani amewafunga watu nataka nikawafungue wawe huru .amina
i love u members
Haki ya nani kama kuna mtu unakwenda kumuombea kwa stahili hii,badala ya kufunguliwa ndio kwanza mapepo yatahamia na kwako!
 
Back
Top Bottom