Panicum dS
Member
- Mar 5, 2012
- 18
- 0
Hapa mtaani kwetu kuna jamaa ana sifa zote ulizotaja kwa hiyo anamsumbua sana mke wake, na mke wake hapendi hizo tabia. Sasa kama kungekuwa na uwezekano wa kubadilishana ingekuwa poa sana...
a) natamani mume wangu awe ana drink kidogo asiwe mlevilakini
(b) natamani asirudi home mapema arudi by saa nne usiku hivi ,itakuwa poa ila isiwekatoka kwa nyumba ndogo roho yangu nyepesi mie nitakufa
(c) sipendi mwanaume anayewahi nyumbani kumenya vitunguu swaumu,kukuna nazi nakutwanga tangawizi na kunipigisha maumbea ya mtaa,bora akae mtaani huko na wanaume wenzie apate maujanja yamaisha
(d)asiwe mlokole wa kiviile awe tu mcha mungu ,mlokole anaweza kukuambia nimeoteshwa maono waifu tufunge siku saba pia ninashuhudiwa moyoni nimuoe mwanakwaya fulani
By the way sijui wkend hii nitoke vipi
Ngoja niwasiliane na mchungaji wangu kama kuna sehemuya kutoa huduma ya maombi leo,maana shetani amewafunga watu nataka nikawafungue wawe huru .amina
i love u members
u guys don't ever dream of being fair to womens, angalia walivyo na ukurutu mwingi kichwani.... ukikakaa bila kuwa na scandal za ngono mtaani, hajawahi kukukamate ugoni au kasikia unagombaniwa mtaani na machangudoa ataanza wa nini mimi huyu ambaye no body is interested with him????[/QUOTE]HUKO UMEFIKA MBALI MKUU? KWANI UKIKAA NJE YA NYUMBANI LAZIMA UWE UPO KWENYE NGONO?
mbona mapadre wanakunywa na wanatusamehe dhambi?
uje nikuombee nimeonyeonyeshwa una pepo la madeni na hofu.ila nakutabiria mwaka huu madeni yako yote yatakwishahaki ya nani kama kuna mtu unakwenda kumuombea kwa stahili hii,badala ya kufunguliwa ndio kwanza mapepo yatahamia na kwako!
u guys don't ever dream of being fair to womens, angalia walivyo na ukurutu mwingi kichwani.... ukikakaa bila kuwa na scandal za ngono mtaani, hajawahi kukukamate ugoni au kasikia unagombaniwa mtaani na machangudoa ataanza wa nini mimi huyu ambaye no body is interested with him????[/QUOTE]HUKO UMEFIKA MBALI MKUU? KWANI UKIKAA NJE YA NYUMBANI LAZIMA UWE UPO KWENYE NGONO?
sio lazima kuna mengi tu ya kufanya,ila hiyo ni miongoni mwa vitu ambavyo vinaweza kukukeep busy usiwe bored wakati unapokuwa umekaaa huko nje!!!
jiwekee tv nyingine chumbani. mimi ndio nimeshawapatia na wanatamani mmuda wote niwe home kwani hakuna anayemdisturb mwenzakeMimi nikirudi mapema watoto wangu wanachukia,wanasema Dad akirudi mapema anapenda kuangalia BBC,Aljazeera,Sky News wakati wao wanataka kuangalia katuni ha ha ha ha.
a) natamani mume wangu awe ana drink kidogo asiwe mlevilakini
(b) natamani asirudi home mapema arudi by saa nne usiku hivi ,itakuwa poa ila isiwekatoka kwa nyumba ndogo roho yangu nyepesi mie nitakufa
(c) sipendi mwanaume anayewahi nyumbani kumenya vitunguu swaumu,kukuna nazi nakutwanga tangawizi na kunipigisha maumbea ya mtaa,bora akae mtaani huko na wanaume wenzie apate maujanja yamaisha
(d)asiwe mlokole wa kiviile awe tu mcha mungu ,mlokole anaweza kukuambia nimeoteshwa maono waifu tufunge siku saba pia ninashuhudiwa moyoni nimuoe mwanakwaya fulani
By the way sijui wkend hii nitoke vipi
Ngoja niwasiliane na mchungaji wangu kama kuna sehemuya kutoa huduma ya maombi leo,maana shetani amewafunga watu nataka nikawafungue wawe huru .amina
i love u members
ni bora awe she kuliko heanachelewa kurudi baadaye unakuja kugundua ana nyumba ndogo & bahati mbaya she is a HE ...
a) natamani mume wangu awe ana drink kidogo asiwe mlevilakini
(b) natamani asirudi home mapema arudi by saa nne usiku hivi ,itakuwa poa ila isiwekatoka kwa nyumba ndogo roho yangu nyepesi mie nitakufa
(c) sipendi mwanaume anayewahi nyumbani kumenya vitunguu swaumu,kukuna nazi nakutwanga tangawizi na kunipigisha maumbea ya mtaa,bora akae mtaani huko na wanaume wenzie apate maujanja yamaisha
(d)asiwe mlokole wa kiviile awe tu mcha mungu ,mlokole anaweza kukuambia nimeoteshwa maono waifu tufunge siku saba pia ninashuhudiwa moyoni nimuoe mwanakwaya fulani
By the way sijui wkend hii nitoke vipi
Ngoja niwasiliane na mchungaji wangu kama kuna sehemuya kutoa huduma ya maombi leo,maana shetani amewafunga watu nataka nikawafungue wawe huru .amina
i love u members
Mi sifa hizo ulizo taja ninazo lakini siwezi kukuchumbia kwa vile unataka mwenye sifa hizo.
U can say that again FL.Mie natamani Mume wangu awe mtume na nabii kabisaaaa.wewe binti haya unayoomba wenzio tunatamani yawe vice verse
Mwanamke anae taka haya ni hatari na kumwogopa kama ukoma hafai kuwa wife