Anguko takatifu lipo njianiNaona mmekosa kazi za kufanya.
tamaa mbele mauti nyuma,Kusema tu ukweli nahisi mtu mmoja ajiuzulu tupone.
Weka jina la unayetamani ajiuzulu hata leo.
😅😅Sa100
Bado wiki moja watajiuzulu watano watu wa mhimu sana kuelekea ujio wa giza kwa joka la kijaniKusema tu ukweli nahisi mtu mmoja ajiuzulu tupone.
Weka jina la unayetamani ajiuzulu hata leo.
DPP hatikuwa na nia ya kuendelea na kesi yako🤣🤣🤣🤣🤣Unatuset mkuu tuwataje hapa ili kesho tuanze kupigiwa simu za kuitwa ofisini kwa mkurugenzi.
Ni ngumu sanaKusema tu ukweli nahisi mtu mmoja ajiuzulu tupone.
Weka jina la unayetamani ajiuzulu hata leo.
Future impossible tenseSa100
Chura alipigwa Busu la Kenge mpaka akadondosha machozi ya Mamba, Chura ajiuzuru sasa tuponeKhadija kopa astaafu taarabu!