Msolid1990
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 145
- 51
Niambie niku-pm nini hapa ili ni-copy na kupaste.
Au kwa sababu natumia jf mobile?
Jamani mimi sijawahi kuona message ya pm inakujaje maana sijawahi kuwa PMed
ila kwa sababu jf chama kubwa nna uhakika leo nitaziona nyingi sana.
Ufikapo kwenye hii thread usisite kuniPM.
kweli we noma, mi najua gia zako!!
baadae utakuja ohh mi sijawahi*******, naomba mtu anipe ili nione inakuaje!!! good strategy ila sijui km utafanikisha, jaribu.