Yule hana tofauti na prof maji marefu
Anajitoaga sana akili yule
Yule hana tofauti na prof maji marefu
Yule hana tofauti na prof maji marefu
Kweli tatizo letu saaizi ni kukosa maadili na tamaa za kipuuzi. Mfano,kukubali kuchezewa elimu kuanzia shule ya msingi mpaka vyuoni. Ma Dr na Ma Prof. wetu nao wanatamani kuwa mabwenyenye tena kwa kutumia njia za hovyo kabisa. Tatizo kubwa lililopo ni kwamba,hatuamini katika haki ili kufanikisha mambo yetu. Ma. Dr. Ma Prof. Badala ya kuonyesha njia kwa sasa ndio wanaotupoteza. Wapo wachache wanajitaidi na lazima tuwapongeze tukiwaona wanafanya kama Prof.Lumumba.
Mkuu asante sana, dah huyu jamaa ni politics guru sana. I firstly heard him when he was a boss for PCCB ya kenya, is there any way kuipata hiyo talk?
Like i said earlier Jerrymsigwa check youtube au tovuti ya ITV mayb there wil be some clips, prof.Lumumba sijawahi msikia b4 but jana nilimkubali kwakweli kumbe Kenya kashika nyadhifa nyeti enhhh.
Lipumba ana akili sana ana reasoning nzuri na anaongea kwa facts kweli ni prof nasikia ni mtaalamu wa uchumi ile mbaya
Ni Lumumba na siyo Lipumba hata watangazaji walikuwa wanakosea wanamwita Lipumba.
hapo red ndo nini?
Hivi yule prof wa maji naye tuseme ni msomi au mzigo?
Prof.Lumumba kutoka Kenya,nilimsikiliza kwenye Kigoda cha MWL.Nyerere na leo nimemsilikiza vizuri. Jamaa naona anastahili kabisa kuitwa Prof.
Tuna Ma-Prof. hapa lakini walio wengi wametekwa nyara kifikra na wanasiasa. Hawako huru kabisa,wanaogopa kusema ukweli. Wakiongea baadhi yao mpaka unawaza kuwa kuitwa Prof.kaitwa kama sifa wanavyojiita wakina Prof.Jay,Majimarefu au?. Wako wapi magwiji kama wakina Prof. Chachage?.
Prof. Lumumba ukimsikiliza mpaka unavutiwa maana anaonyesha ukomavu wa hali ya juu kabisa katika changamoto za Bara la Afrika na utatuzi wake.
Mapungufu najua anayo, kama binadamu huwezi kuwa perfect,lakini nataka Ma-Prof. wetu watuonyeshe njia kwenye mambo magumu ya kitaifa. Wanatakiwa waseme ukweli hata kama watachukiwa na watawala kwani ndiyo kazi yao.
shit is your dickhead..............JF unaweza ukauliza swali la ki-mbumbumbu kiasi hiki? hukuweza kusahihisha na ukaendelea kuelewa? Shit!
Let me take you down, you are cow dung!shit is your dickhead..............
na wewe unaona kuwa jf ni cheo cha akiliii??
Lipumba ana akili sana ana reasoning nzuri na anaongea kwa facts kweli ni prof nasikia ni mtaalamu wa uchumi ile mbaya
Hapana ni Prof. Lumumba kutoka Kenya.