Natamani maprofesa wetu wawe kama Prof. Lumumba

Natamani maprofesa wetu wawe kama Prof. Lumumba

Huyu baba(prof.Lumumba) hata mimi nimependa sana alivokua anatoa hoja zake yaani nizakisomi kweli kweli na kiswahili safi kabisa kajitahidi sana siyo kama ma prof. Nama dr. Wetu akisimama kuongea ni michosho tuu mara anukuu ukurasa mzima wa kitabu na kiingereza juu pasipohitajika bado hajajisifia yaan bure kabisa.
 
Usimpinge mtu kwasababu ameandika au kusema usicho kipenda na ukamsifia mtu simply katoa kilicho upande wako
 
PLO Lumumba ana charisma. Upako wake ni wa kufuata maadali na maandiko ya kwenye biblia and is parcticing them.
Hana tamaa na he is ready to sascrifice. He calls a spade a spade.

Mungu aendelee kumpata neema, tupate na wengine wa aina yake.
 
Wasomi wengi Tanzania wanasoma ili kupata status na kuongeza salary lakini sio kujifunza
 
Huyu baba(prof.Lumumba) hata mimi nimependa sana alivokua anatoa hoja zake yaani nizakisomi kweli kweli na kiswahili safi kabisa kajitahidi sana siyo kama ma prof. Nama dr. Wetu akisimama kuongea ni michosho tuu mara anukuu ukurasa mzima wa kitabu na kiingereza juu pasipohitajika bado hajajisifia yaan bure kabisa.

Hayo mazungumzo tunaza pataje sisi tusio na tv huku bush?
 
Hayo mazungumzo tunaza pataje sisi tusio na tv huku bush?

Mnhhh mamtoni ni bush?:sly:😀 Leo kulikua na mdahalo wa katiba mpya ulioandaliwa na chama cha wanasheria wa Tanganyika kilirushwa live na ITV mida ya jioni labda tembelea website ya ITV au youtube kama washarusha tiyari kuangalia yaliyojili ulikua mdahalo mzuri sana kwa kweli.
 
Mkuu asante sana, dah huyu jamaa ni politics guru sana. I firstly heard him when he was a boss for PCCB ya kenya, is there any way kuipata hiyo talk?
 
Mkuu asante sana, dah huyu jamaa ni politics guru sana. I firstly heard him when he was a boss for PCCB ya kenya, is there any way kuipata hiyo talk?

ITV website imeweka clip ndogo ya mdahalo. Jamaa yupo sawa.
 
Ivi yule Bana wa UDSM ameshakuwa prof?

TZ NI Nouma Angalia Hii Mizigo Ambayo Haina Imapact Ktk Maendeleo Na Maisha Ya Watanzania, PROFF.PARA-MAGAMBA GABUDII, PROFF. MAGEMBEgo,PROFF.MAJIMAMAFUPI,PROFF.BENSON BANANA. Degree Zao Zinamnufaisha Mtalawa Au Mtawaliwa!??
 
Tatizo watu wanajitoa ufahamu, wanaweka akili mfukoni na kuongea walichopandikizwa
 
Mkuu kwanza naomba umtake radhi Prof J kwa kumuweka level moja na Majimarefu Uprofesa wa J unaviwango vilivyothibitishwa katika Muziki tofauti na huyo Majimarefu mwizi wa fedha za walala hoi kupitia tunguli...

Anyway, hata huyo Lumumba angekuwa hapa bongo then awe shabiki wa maccm asingekuwa tofauti na kina Benson Bana, Shivji wa leo na wengineo. Hata hivyo bado Mungu katujalia Maprof kana Lipumba, Safari na Baregu hawa ni wasomi wachache wenye kuimudu njaa na kuishi ktk taaluma zao.

Tafadhari tumiza ombi langu la kumtaka radhi Prof J/MwanaMitulinga

BACK TANGANYIKA
Maana yangu ilikuwa kuitwa Prof.pasipo kusomea Prof.Jay kwa sababu ya uwezo wake ki-music ni nick name tu na Majimarefu sijui yeye aliitwa kwa ajili ya nini. Sikumanisha kuwazarau. Bila shaka umenielewa vizuri.
 
mkuu kwanza naomba umtake radhi prof j kwa kumuweka level moja na majimarefu uprofesa wa j unaviwango vilivyothibitishwa katika muziki tofauti na huyo majimarefu mwizi wa fedha za walala hoi kupitia tunguli...

Anyway, hata huyo lumumba angekuwa hapa bongo then awe shabiki wa maccm asingekuwa tofauti na kina benson bana, shivji wa leo na wengineo. Hata hivyo bado mungu katujalia maprof kana lipumba, safari na baregu hawa ni wasomi wachache wenye kuimudu njaa na kuishi ktk taaluma zao.

Tafadhari tumiza ombi langu la kumtaka radhi prof j/mwanamitulinga

back tanganyika

kaka unatisha, nakubaliana na wewe
 
Ni kweli maprof wetu wa bongo njaa zinawafanyawashindwe kujenga hoja hata yule profwa jana alikua mwoga kuto msimamo wake wa kuhusu srkl 2 au 3 ,pia kuhusu prof wetu mwingine wa wizara ya elimu katibu mkuu wake ambaye alikua kuwa katibu mkuu tcu ambayo ambaye amekubali kushusha viwango vya ufaulu kwa kuweka kichuo na kukuddimza elimu kwa siasa za BRN
 
Lipumba ana akili sana ana reasoning nzuri na anaongea kwa facts kweli ni prof nasikia ni mtaalamu wa uchumi ile mbaya

Watu wanamuongelea prof. Lumumba wewe unatuletea mambo ya Lipumba tena?
 
Back
Top Bottom