Mkuu mshana jr, ''mental slavery'' ndio imepanda.
Hayo mengine kina kirefu...
What has that saying got to do with our forces?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Acha upashkuna na kujipendekeza wee ndorobo mbovu
Hata wakisoma kama unavyotamani haitakuwa na msaada kwa sababu wanajua hayo unayodhani hawajui. Tatizo unaloliona wala sio wao bali ni sheria, hivyo basi ungesema unatamani watunga sera/sheria wayasome hayo maneno na sio askari ambao wanatekeleza majukumu kwa kufuata sheria/taratibu zilizowekwa na wengine.
Kama hujaelewa kitu hapo hutakaa ulewe kitu.Na si vizuri kuwatukana watu unaopingana nao mtazamo.