Natamani kuzaa sasa...

Natamani kuzaa sasa...

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,356
Shemeji yangu hapa nyumbani (as long as bado naishi kwa shikamoo hapa mjini) amejifungua mtoto wa kisichana majuzi kati... Dah, sasa na kibaridi hiki yeye aoga maji ya moto deile, na mimi nikifikiria kuchemsha naona nitaua bajeti ya Ngeleja,...
Hapo sijagusia mazaga mengine, ya makulaji na kila kitu. Aaaagh!
 
Mi mwanaume wewe, yaani msela wangu umenisahau?

Yaani mimi tena nikusahau Mphamvu? hiyo title yako imenishtua sana nikasema kulikoni? au mdio umeshaanza kufanya yale mambo ya cameron.
 
Last edited by a moderator:
Yaani mimi tena nikusahau Mphamvu? hiyo title yako imenishtua sana nikasema kulikoni? au mdio umeshaanza kufanya yale mambo ya cameron.

Afu wewe bwana, uliona wapi ***** amezaa. Mi nimetamani kuzaa, labda ungeniuliza kama nimekuwa mwanamke.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom