Natamani kuzaa sasa...

Hahahaha rudi kwa wazazi Mphamvu !

Mjini shule, kijijini kilimo. Nikienda huko nitalost, hapa mjini niko kwenye transition period, sasa hivi nitakwala pesa mingi, afu kila siku itakuwa kama sikukuu.
 
Last edited by a moderator:
Sio lazima ununue gunia zima. Kopo laweza kuwa haifiki 1000. Punguza pesa ya mtandaoni, upate maji moto.

Hapa mkaa twanunua gunia, kopo 1200 kwa Muha, sema nikiacha mkaa ndani afu nikienda kununua kopo inaweza kuleta madai mengine, kuwa najitenga.
Busara yangu imenituma hivyo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom