Natamani Kutukana!!

Natamani Kutukana!!

Status
Not open for further replies.
Wewe King'asti wewe!!
Bado uwepo wangu Jf nauhitaji.
Afu eti Invizibo jinsia gani?
mie jinsia yake.nitaijualia wapi? Kwani bado anaoga mtoni? Mito yenyewe imekauka na iko contaminated na faecal coliform kama chawa.
 
Last edited by a moderator:
mie jinsia yake.nitaijualia wapi? Kwani bado anaoga mtoni? Mito yenyewe imekauka na iko contaminated na faecal coliform kama chawa.

Hahahaaa...Unajua nini?
Yale macho yake yale,yana mvuto sio siri!!
 
Yaani mpaka muda huu hili limada halijachakachuliwa tu...hebu mamaa marejesho kuja pande hii tuchakachue hii mada mpaka mwenyeji ajione mgeni,,,
 
Last edited by a moderator:
Kichwa kama t.a.k.o la kumbikumbi
 
Nasema hivi....sichangii mada hii nisijetukanwa nikachukia ikawa msala kwako.
 
Wakuu,nina bonge la stress,na miongoni mwa njia kuu za kumaliza stress ni kutukana.
Natamani sana kutukana,hivyo yeyote atakaye changia hii thread namporomoshea matusi.


Mie napita tu Mkuu wala sijachangia yasije yakanikuta mie, ok byeee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom