Natamani Kutukana!!

Natamani Kutukana!!

Status
Not open for further replies.
Kipipi ID moja ina raha yake otherwise ni utoto ndio unasababisha watu kuwa na ID nyingi au jukwaa la siasa.

Yaani ingekuwa inapendeza zaidi kama mtu amejisajiri kwa IDs nyingi
Kwa sababu ya jukwaa la siasa, ni vema akazitumia huko huko na tena kwa mambo ya siasa!
 
Yaani ingekuwa inapendeza zaidi kama mtu amejisajiri kwa IDs nyingi
Kwa sababu ya jukwaa la siasa, ni vema akazitumia huko huko na tena kwa mambo ya siasa!
Pole mwaya.....!
Kwenye wengi kuna mengi Kipipi
 
Last edited by a moderator:
No need my dear,
I was just trying to reason something!

Anyways . . . . let me leave it as far as people do differ!
You are right mumy!
Tuhame zetu thread twende kule kwenye safari ya watu wa DAR tukasogoe kidogo ingawa nasinzia
Huku ni KIZUNGUZUNGU
 
ngoja nikipita sokoni.later nitakufyatulia picha. Sasa kama una issue muhimu m-pm invisible au maxence melo. Wasipokujibu (manake siku hizi wajeuri hao kama sambusa za mihogo), pm mai hazbend Paw, atakujibu kwa ufasaha. Ndo ananisomeaga pm zangu, feel free.

Kweli mama una msimamo.huyu jamaa anataka kuleta fitna bora umpe kubwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom