Natamani Kutukana!!

Status
Not open for further replies.

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,905
2,000
Wakuu,nina bonge la stress,na miongoni mwa njia kuu za kumaliza stress ni kutukana.
Natamani sana kutukana,hivyo yeyote atakaye changia hii thread namporomoshea matusi.
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,794
2,000
Sasa si uingie toilet ujitukane weeeh hadi ukome. Una stress badala ya kwenda gym ukaimarishe afya yako unataka kuchafua hali ya hewa.
Lione kwanza, kichwa kama sambusa ya nyongeza (source: mzee mwanakijiji)
 
Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,905
2,000
Sasa si uingie toilet ujitukane weeeh hadi ukome. Una stress badala ya kwenda gym ukaimarishe afya yako unataka kuchafua hali ya hewa.
Lione kwanza, kichwa kama sambusa ya nyongeza (source: mzee mwanakijiji)

Hahahaaaaaa...Watu wengine bhana!!!
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
56,743
2,000
Sasa si uingie toilet ujitukane weeeh hadi ukome. Una stress badala ya kwenda gym ukaimarishe afya yako unataka kuchafua hali ya hewa.
Lione kwanza, kichwa kama sambusa ya nyongeza (source: mzee mwanakijiji)

akiingia toilet anaweza kuishia kujifanya matusi...labda asitumie maji ya kopo kujinanilihuu
 
Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,905
2,000
Sasa si uingie toilet ujitukane weeeh hadi ukome. Una stress badala ya kwenda gym ukaimarishe afya yako unataka kuchafua hali ya hewa.
Lione kwanza, kichwa kama sambusa ya nyongeza (source: mzee mwanakijiji)

He!He!He!
Kumbe hadi Mzee Mwanakijiji anaporomosha matusi akizidiwa na stress!!!
Alipewa ban??
Sasa King'asti,hebu kuja huku kwa PM tuongee vizuri!!
 
Last edited by a moderator:

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,794
2,000
akiingia toilet anaweza kuishia kujifanya matusi...labda asitumie maji ya kopo kujinanilihuu

hahaha, na wewe umeanza sasa. Aaagh, una mpango wa kuniharibia siku yangu nzuri wewe, ngastukaa.
 
Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,905
2,000
usianze kuniuliza umbea wa kiintelijinsia hapa. Mdomo kama maandazi ya kuumua na pombe. Weka pm hapa hapa hadharani, mambo ya gizani staki.

Uuwiiii...Hebu tuwekee picha ya hayo maandazi ya kuumua na pombe yanakuwaje!!!
Duh!!
Njoo kwa PM bwana,kuna ishu muhimu nataka kukuulizia.
 
marejesho

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
6,640
2,000
Ya kwangu nikiyashusha tu hapa nakula BAN na ya nyongeza!!!!
Filipo njoo nipe maneno matamu ili nisijepata Ban buree
 
Last edited by a moderator:

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,794
2,000
Uuwiiii...Hebu tuwekee picha ya hayo maandazi ya kuumua na pombe yanakuwaje!!!
Duh!!
Njoo kwa PM bwana,kuna ishu muhimu nataka kukuulizia.

ngoja nikipita sokoni.later nitakufyatulia picha. Sasa kama una issue muhimu m-pm invisible au maxence melo. Wasipokujibu (manake siku hizi wajeuri hao kama sambusa za mihogo), pm mai hazbend Paw, atakujibu kwa ufasaha. Ndo ananisomeaga pm zangu, feel free.
 
Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,905
2,000
ngoja nikipita sokoni.later nitakufyatulia picha. Sasa kama una issue muhimu m-pm invisible au maxence melo. Wasipokujibu (manake siku hizi wajeuri hao kama sambusa za mihogo), pm mai hazbend Paw, atakujibu kwa ufasaha. Ndo ananisomeaga pm zangu, feel free.

Wewe King'asti wewe!!
Bado uwepo wangu Jf nauhitaji.
Afu eti Invizibo jinsia gani?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom