Ninaomba ushauri, nina ufaulu wa Phy D, Math D, Chem C, Bios C na Geo C na nahitaji kusoma Mechanical maana advance combination zinabalance arts, je nifanyeje? Na ufaulu huo na nikipata two?
Jamani ninaomba ushaur nina ufaulu wa Phy D math D chem C bios C na geo C na nahitaj kusoma mechanical maan advance combination zinabalance arts je nifanyeje? Na ufaul huo na nikipata two
Jamani ninaomba ushaur nina ufaulu wa Phy D math D chem C bios C na geo C na nahitaj kusoma mechanical maan advance combination zinabalance arts je nifanyeje? Na ufaul huo na nikipata two
Lolote utakalo linawezekana, kwa alama zako za physics na mathematics unaweza kuanzia diploma ya mechanical engineering halafu baadae ukafanya degree ingawa pia kama ukiamua kwenda advance PCM itabidi upige msuli sio wa kitoto ukiwa private.
Mimi mdogo wenu nimemaliza kidato cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu ni kama ifuatavyo
Phy D math D chemia C Biology C.
Huo ndio ufaul wang na Nia yangu ilikuwa ni kwenda chuo nikasomee mechanical engineering badala ya kwend advance maan combination zinabalance arts na mm Sina Nia ya kusoma arts