Kaka Tz ukiwa na kazi yako nzuri na sehemu ya kuishi hupigiwi kelele na kodi ya nyumba, life is good maan! Mavyakula ya kufa mtu sio ya mikebe. Ila kwa usahuri Dar pamejaa full majotrooo na pollution za kila aina. Dili ni Mbeya (but unaishi kwa machale huko manake wanatoa roho za watu fasta fasta), Arusha (Ukipata nyumba ama kiwanja mji huu utambikie unless uje na mihela ununue mijumba ya watu). Mwanza nako panakaribia kuwa Dar.
Rudi nyumbani kaka ujionee life nzuri ya watanzania wenye resources nyingi ambapo wachache ndo wanazifaudu!