Natamani kurudi home | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natamani kurudi home

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by rosemarie, Jun 27, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nina ile kitu kinaitwa home sick,nimechoka sana na maisha ya ugenini,lakini naogopa kurudi
  home na kukwama,hasa nikisia mambo ya mgao wa umeme!!!lonely life not good.
   
 2. m

  malinda JP New Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  rudi hm ndugu 2pambane na waharibu nchi
   
 3. s

  shosti JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hahahahaah pole yako....huko kukaa nje kidogo ndo kunakufanya uogope kurudi kwenu eti mgao sijui nini...kwani umeanza jana huu!
   
 4. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Karibu sana mkuu uje kuijenga nchi
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  usitishike kiasi hicho mkuuu
  ukiwa na mshiko wa maana
  hakikisha una nyumba ya kuishi
  chukua likizo rudi home kwa mwezi kwanza
  angalia wapi waweza tulia na wapi pa afadhali kidogo..
  ukisha fanya ka research chako basi fungasha....
  yakikushinda rudi huko mjuuu..
   
 6. S

  Sweetlove Member

  #6
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Rudi hme kaka hata kwa muda mfupi upate relief kdogo.ishawah kunitokea nlipoenda kuanza kazi so i knw how does it feel.u become so restless! Have a gud stay huko uliko but come back soon utupe mamkitu ya majuu"
   
 7. 0717436862

  0717436862 Member

  #7
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rudi home mkuu 2nakukaribisha sana2, ila usisahau mafuta ya taa,na tochi kubwa,kuna giza mkuu huku,rudi hm mkuu uone nchi ilivyo.
   
 8. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Mijitu mingine ina mbwembwe za kifa.la sana, eti naogopa mgao wakati umeme wenyewe kwao wamevuta akiwa form six.
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Unaogopa kwenu kuliko kwa watu! Pole sana jifikirie kama una sababu muhimu ya kukufanya urudi au ubaki ulipo.
   
 10. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Welcome home, buddy!
   
 11. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  kupambana na hao waharibu nchi wanapesa watatumaliza
   
 12. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  mkuu natamani sana kuja tujenge nchi,lakini naomba waondoeni ccm kwanza,wanakatisha tamaa sana mkuu
   
 13. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  mkuu napenda sana familia,ningejaliwa nipate mke kutoka nyumbani ningefurahi sana sana
   
 14. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu ecoli acha utani kwenye mambo ya muhimu
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  miss u jaman..njoo hm bana
  rud nyumban tujenge familia..pls cooooooooooooome...i wl buy u sweet

  USIJALI NTAKUPA MACONCEULLOR WATAKUPA COUNSELLING YA KUTOSHA ILI UONE POA TU MAISHA YA NO MAJI NO UMEME
   
 16. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  MSAMEHE BURE...mwenzio anadhani unajifagilia ....pole tak t easy..

  unarud lin jaman....?(km nakujua vile mweeee kumbeeeeeee)
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  njoo tushirirkiane kuwatoa sa ukikaa uko nan atawatoa?

  pole... i knw hw t fils ukiwa nje then umemiss home...ahh inakera
   
 18. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  If that's the case I'm afraid you'll have to rethink again cause CCM ain't going nowhere.......
   
 19. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  wow,l will stay forever
   
 20. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  asante,lakini naona dar sitapaweza bora nikatulie mwanza au mbeya
   
Loading...