L Lady G JF-Expert Member Dec 13, 2010 515 130 Jun 18, 2012 Thread starter #81 Yericko Nyerere said: Ili upendwe ni lazima nawe upendeke! Unaweza ukawa unapenda lakini hujiweki ktk mizani ya kupendwa! Click to expand... yericko this was 2011, naamini nimejifunza mengi na yananisaidia sn kwa ss ktk mahusiano
Yericko Nyerere said: Ili upendwe ni lazima nawe upendeke! Unaweza ukawa unapenda lakini hujiweki ktk mizani ya kupendwa! Click to expand... yericko this was 2011, naamini nimejifunza mengi na yananisaidia sn kwa ss ktk mahusiano
Keyshia Member Feb 24, 2011 63 31 Jun 18, 2012 #82 Cool Gentleman said: Poleni sana sana Lady G na Keyshia. I am aware hii ni moja ya sababu kubwa inayowafanya baadhi ya Wadada wajiingize katika Usagaji. Click to expand... Umeona eeh harafu watu wakiwa hawana mapenzi ya kweli wanashangaa, maana mtu umeumizwa mpk moyo umekufa ganzi!
Cool Gentleman said: Poleni sana sana Lady G na Keyshia. I am aware hii ni moja ya sababu kubwa inayowafanya baadhi ya Wadada wajiingize katika Usagaji. Click to expand... Umeona eeh harafu watu wakiwa hawana mapenzi ya kweli wanashangaa, maana mtu umeumizwa mpk moyo umekufa ganzi!
Keyshia Member Feb 24, 2011 63 31 Jun 18, 2012 #83 Lady G said: Lol, pole sn, ila mie cku hz ninaganzi ya hatari, ctaki kupenda kihivyoooo, na najikuta naumiza mtu kihisia na ninaona kawaida tu Click to expand... Me nimeshindwa cjui kama kungekuwa na dawa ningekunywa! maana ni taabu tu.
Lady G said: Lol, pole sn, ila mie cku hz ninaganzi ya hatari, ctaki kupenda kihivyoooo, na najikuta naumiza mtu kihisia na ninaona kawaida tu Click to expand... Me nimeshindwa cjui kama kungekuwa na dawa ningekunywa! maana ni taabu tu.