Natamani kuongeza mke nami ni mkristu

Natamani kuongeza mke nami ni mkristu

Kitu cha kwanza. Don't be slave of catholicism. Hizi dini zililetwa mkuu na zina wenyewe. mimi mfano hai katika hili. Ni mkristo wa jina ila sifuati sheria zao na nimeoa wake wawili. Asikudanganye mtu dini hizi za kisasa zina ukakasi mwingi sana
Kwanin ukose furaha ya moyo wako kisa dini za mapokeo
 
Wazungu si wanafki
Usaliti kdg tu anakupiga chini

Sizani kama ni unafiki, isipokuwa ninachojua ni kuwa wazungu hupenda kuishi kwa kanuni!

Once tumependana na kukubaliana kuishi pamoja basi yatupasa kumaanisha hivyo na kuwa waaminifu kinyume na hapo piga chini!

Wako strictly sana hasa linapokuja swala la cheating hawanaga msalie Mtume!
 
Wazungu si wanafki
Usaliti kdg tu anakupiga chini
Kwa sababu Wana option ya kuoana na kuachana.
Hawana mambo ya mpaka kifo kitutenganishe.
Ni uongo kuassume ndoa za wazungu ndio ziko vizuri.
Ukisoma most biographs za wazungu unakuta alioa na kudivorce.
 
Kwa maisha gani uliyonayo mpaka utake mke mwingine acha kujipasua kichwa usawa huu wa magufuli wenzio waliongeza wake enzi za kikwete na Mwinyi
 
Ni tamaa tuu ndio zinamuendesha,uzinzi ndio ameona sifa,anachafua nyumba yake kwa vitu visivyo na maana
Ni unaota au ni uhalisia wako? Sasa huyo mkeo ulimuoa wanini kama umpendi ? Tulia na ndoa yako mkuu naweza kusema ulikimbilia ndoa bila kuwa tayari kuitumikia na kuilinda ndoa yako ndio maana unakiri kuzidiwa ujanja na uyo muasherati mwenzio, tulia na mama watoto wako Mungu kakubariki na huyo.. asubuhi njema
 
Umuhimu wa wanawake kuwaombea ufahamu wa wanaume ndio huu,huyu mke angekuwa anasugua goti huyo mchepuko mngetibuana wenyewe
Every strange woman operating as a jezebel spirit between our future husbands or husbands catch fire and die
Na huyo wako mchepuko apate spirit of confusion akukimbie mwenyewe
 
Kwa sababu Wana option ya kuoana na kuachana.
Hawana mambo ya mpaka kifo kitutenganishe.
Ni uongo kuassume ndoa za wazungu ndio ziko vizuri.
Ukisoma most biographs za wazungu unakuta alioa na kudivorce.
Hata africa option ipo

Wazungu ambacho hawawezi hata dk1 ni mitala
Ndoa ni ndoa haswa js 2 people only and committed
 
Usihalalishe kwa kufanya hivyo,kuwa naye tu kwa part time
 
Sijaona ulichobakisha moyo umempa wote upendo wote mawazo yoooteee hisia kama zoteee
Oa tu
 
Umuhimu wa wanawake kuwaombea ufahamu wa wanaume ndio huu,huyu mke angekuwa anasugua goti huyo mchepuko mngetibuana wenyewe
Every strange woman operating as a jezebel spirit between our future husbands or husbands catch fire and die
Na huyo wako mchepuko apate spirit of confusion akukimbie mwenyewe
AMEEEEEEEEEEEEN
 
So ts now the wifes' fault kuhusu kusali duuh
What part ya kiapo chake cha ndoa mme haelewi?.

Nadhani ni ubinafsi tu wa mume kufikiria furaha yake na si ya mkewe
 
So ts now the wifes' fault kuhusu kusali duuh
What part ya kiapo chake cha ndoa mme haelewi?.

Nadhani ni ubinafsi tu wa mume kufikiria furaha yake na si ya mkewe

Hapana it’s not her fault,obvious it’s the husband who is wrong
Mambo ya imani tu haya my dear,spiritually something is not right with the marriage I wouldn’t like going deeper on this case since it doesn’t concern me
 
Najua hayo yote. Lakin Mimi nimeeleza jinsi navotamani achia mwisho nashindwa. Nikija kibiblia vipi kuhusu mfalme Suleiman ambaye alikuwa nao karibia1000?
Sulemani alifanya upuuzi uliomletea madhira na hatimaye kutenda dhambi. Kujitetea ni kawaida ya mwanadamu lkn ukitubu utapata rehema, ukiendelea na huo mchezo utailetea madhira makubwa familia yako.

Vv
 
Jamani Mim nipo Nje ya Mada kidogo ila naombeni Msaada Wanaume wenzangu mliowahi kutoa Bikra za madem zenu Mlifanyaje Fanyaje mpaka mkafanikiwa kutoa Jana nimehangaika Siku Nzima kutoa bikra Nimeshindwa
 
Mimi ni Baba wa watoto wawili na Nina ndoa ya kukatoliki iliyodumu Kwa muda wa miaka mitano. Kwa ujumla mke wangu nampenda Sana maana no mke ambaye niseme waz kwangu nimepata.

Ananipenda kuliko kiwango. Ni mwanamke ambaye akikosea hajivungi kusema samahn lazizi.

Tukija upande wa pili wa huyu msichana mwingine. Ni wazi no mwanamke ambaye nimekuwa nae kabla hata ya mke wangu. Tunaishi nae nchi nyingine Sabab ya kibiashara Ila yeye ni mwajiriwa. Kuna kipind tulipoteana kama miaka miwili akapata mwanaume wakafunga ndoa ya boman Ila haikudumu hata mwaka Ila walizaa nae.

Ni mwanamke ambaye Kwa ujumla anasifa zote zile ambazo mke Hana yeye Amazon na sifa nyingine Hana Ila mke anazo.

Kiujumla nae nadiriki kusema ananipenda kuliko kiwango maana kuna mambo tumepitia kikawaida Kwa madada wenzetu wasingeweza. Katengwa na familia yake Kwa ajili yangu pesa yote analeta kwangu.anajua nimeoa kabisa na kipind naoa alinichangia.

Ishu inakuja kila napotaka achana nae naumia mara tatu mpaka nashindwa Fanya KAZI zangu.nishajaribu kumkimbia mwaka lkn moyoni nilijikuta narudi tena.
Kila napokuwa nae mambo yangu yanaenda vyema na mara zote anasisitiza niwatumie wanangu pesa na kuna muda anatuma zake mwenyewe Kwa wife kupitia western union wife anajua hi mfanyakaz wa benk Tu namwachiaga.

Nimejaribu njia zote naona nashindwa, Zaid moyon natamani Tu nifungue nae ndoa nae ya boman Kwa Sabab ni nchi nyingine na asije gusa Tanzania ili kumuondoa kwenye lawama na ndugu zake.

Ukwell huyu mdada kanizoa kabisa . Naomba ushaur Kwa waliowahi kutana na hii mambo mlifanyaje
ukiwa gizani ndivyo inavyo kuwa, na hata ukimpata huyo, utaona mwingine mwenye upekee, utasema ngoja niongeze na huyu awe watatu, mwishowe, unamfukuzia king mswati, mwisho kabisa tunakuzika kwa ukimwi, shetani muongo sana!
 
Back
Top Bottom